- Thread starter
- #21
Hapo sasa, hapa kuna kitu.Kikwete ni muislam lakini alikua anakosolewa mpaka kudhalilishwa zitto alikua wapi kumtetea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa, hapa kuna kitu.Kikwete ni muislam lakini alikua anakosolewa mpaka kudhalilishwa zitto alikua wapi kumtetea?
Ndo hivyo kashaitoa, tena kaandika twitter dunia yote ijue.
Nahisi aliandika kwa hasira, Zitto mdini sana hafai kupewa nafasi yeyote ya uongozi serikalini katika nchi hii.Sidhani Kama amefikia hapo, bcoz was
Very poor and stupid argument
Hata kama kafuta sisi tayari tushatunza kwenye recordsNaona ameifuta hii tweet
Huyu Zitto hafai kabisa kuongoza nchi hii, ana itikadi za udini sana.Zitto Kabwe wewe jamaa sijawahi kujua kumbe uko mtu wa ajabu namna hii...Ni nani alietaja Dini ya mtu??? Unajua usipindishe mada hapa...Tumekataa wanyama wetu kusafirishwa hao wanyama sio wako na wewe usijione una uraia no 1 katika nchi hii wewe njaa zako hizo ndio zinatafta upenyo kuelekea kwenye dini hamna mtu ametaja Dini...Acha njaa zako zikumalize usituletee udini haujatajwa .....
Mkiishiwa hoja mnakimbilia udini...eti na wewe unasema unataka Urais kiruu....
Kwahiyo hiyo tweet yake nyingine kwamba tumejitungia.
😄 Tatu chafu
Yaani kaandika kwa jazba na hasira kweli kweli. Sielewi Zitto anashida gani siku hizi.Duh! Inaonekana mpambano ulikua mkali kweli, kiasi kwamba akatoa mihemko yake
Ndiyo hivyo tena kashakuwa.Kumbe zito ni mpuuzi kiasi hiki,nilikuwa namwona anajielewa sana.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Nimekupa thanks kwa signature line yako. That's (somewhat) genius. Kifupi, hatuna nchi bali pepo ya mafisadi na wajinga.That is so low of Zito if he truly gave this comment!