Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba nikupe pole, na nikutakie mabadiliko katika safari ya usugu wa maishaShahada ya Uzamili ya Tehama. Sijafika level yoyote ya kiuongozi (na pia sidhani kama uongozi una levels, maana huko Sri Lanka, aliyekuwa Rais wakati mmoja, Mahinda Rajapaksa, alikuja kuwa Waziri Mkuu wakati uliofuata, na sasa ni mbunge)
Asante mwanamabadilikonaomba nikupe pole, na nikutakie mabadiliko katika safari ya usugu wa maisha
MBOWE ALIKUWA ANA TEMBEA NA CHUPA YA KONYAGI .Zitto Kabwe 'kajinaniliu' sana
Tahila wewe, hata kuandika hujui mmmmbwa mkubwaAchana upumbavu wako! Kikwete hakuna watu? Dr Mvungi,Maandishi mwangosi? Dr Ulimboka alitekwa vipi Raise alikuwa mkristo? Ufisadi kila kona ya nchi chini ya Kikwete hukuuona! Hata huyu bibi yako Kafanya lipi la maana kila kitu kinapanda bei anasingizia Ukraine!
Lazima imkosti, uzuri kumbukumbu zinaishi.Kosalake ameaza akiwa na umri mdogosana itamkosti mbeleni kizazi hiki kigumu sio Cha akina lipumba kilikua soft