Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

Udini udini hauna nafasi kabisa hapa Tz !! Hata hao wanaouzungumzia wanajua kuwa hapa Tz ni ngumu watu kukuelewa !! Hata kama hicho kitu kipo lakini kipo kwa kiwango kidogo sana !!!
 
Nyie wakristo mna chuki mno na Waislamu, na pindi Rais akiwa muislamu hakuna hata zuri lake moja ambalo mnaliona, mkristo mwenzenu kaua watu,kateka watu,kafunga watu, katupora fedha zetu Wengine kwenye maduka ya kubadilishia fedha, mlikuwa yote hayo mnashangilia kisa tu mkristo mwenzenu mmbbwa nyie,

Leo Samia kapandisha mishahara,katoa ajira, wakati yule shetani muuaji kipindi chote akufanya hayo,

Samia Ni Rais Bora Sana kwa Tanzania,huwezi kumlinganisha na lile shetani lenu,

Asilimia kubwa wanamtukana Samia Ni wakristo na mazezeta machache yasiyo jitambua, dikteta muuaji ameharbu Sana mentality za vijana wetu shetani yule
Ww hujahitimu hata chekechea...maarifa yako kama ya mbuzi tu,natamani ungekuwa na akili hata ya kuvukia barabara.
 
Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake.

Kwamba waliokosoa wanaichukia Serikali kwa sababu inaongozwa na Rais Samia ambaye ni Mwislam, kwahiyo anaona watu kuhoji wamekosa uvumilivu wa dini.

Zitto ni mdini sana hafai kuongoza nchi hii hata siku moja.

Zitto kabwe

View attachment 2251905
View attachment 2251906
Kwa comment hiyo wewe Zitto ndo unadhihirisha umejawa na udini na ujinga, na una hasira zingine ambazo obviously hazihusiani na hayo maoni ya akina Maria; we know mara nyingi they have put you in a cage and in your rightful corner. PATHETIC!
 
Zitto ana chuki na watanzania kuliko magufuli kwa kuwa ana chuki ndani yake kwa kuwa anachukia kwanini watz tulimpenda JPM na ili tatizo la zitto wanalo viongozi baadhi ndani ya ccm na serikalini kama NAPE HATA SA100 ANALO ILO TATIZO CHUKI YA YAO KWA JPM IMEWAFANYA KUWACHUKIA WANANCHI HATA KILICHO WAKUTA WAMACHINGA NI CHUKI YA SA100 KWA JPM
Lwiva do not give sweeping statement kuwa, Watanzania walimpenda JPM sema wewe ulimpenda JPM usiwasemee watanzania kwani Zitto, Nape na wengine pia ni watanzania. Tafakari.
 
Maria hajawahi kuongelea dini kabisa, huyu Zitto sasa anachanganyikiwa na ulaji.
 
Amelewa?Ila huyu kiumbe by nature ni Mdini mno,hafai nafasi yoyote.
Alitumia Agenda hiyo kuipasua Chadema akafeli akaondoka na dhambi hiyo akishangaa kuwa na Chama cha kiislamu.
Watu dhaifu huwa wanajificha kwenye huo utetezi wa Dini,Kanda,Kabila nk.
Ndiyo maana nilimshangaa sana Superwoman Fatma kutumia Silaha za Udini na Ukanda juzi kati.

By the way hao wanyama ni wa waislamu tu kwani?
 
Maelezo yako ya mwanzo yako sahihi kabisa ! Lakini hayo unayoyaita ya waisiharamu hayo kwakweli siyafahamu ! Lakini pia ukikosana na watu wawili watatu wanne au hata kumi usiwachukulie kuwa watu wote wa dini ile au wa asili ile wako hivyo !! Unaambiwa Akili ni nywele kila MTU ana zake !!!
Mbona aliojiwa kabisa na kuyasema hayo hatua kwa hatua, kuwa mama yake mzazi alimwita na kumwambia kuna kitu nataka lazima unifanyie wala usiwe na hofu ndipo akwamwambia nataka leo uniogeshe na upitishe mikono kila sehemu ya mwili wangu
 
mbona lodilofa aliuza mbuga kabisa ya GRUMETI.tena kwa miaka 99.
pale hadi uwanja wa ndege mkubwa upo.yaani ile grumet iko tanzania lakini mmiliki beberu
 
Mojawapo ya viashiria vya mtu aliyefilisika kisiasa ni kuingiza udini. Huyu mkoma naona safari yake ya kisiasa imeishia hapa.
 
Mbona aliojiwa kabisa na kuyasema hayo hatua kwa hatua, kuwa mama yake mzazi alimwita na kumwambia kuna kitu nataka lazima unifanyie wala usiwe na hofu ndipo akwamwambia nataka leo uniogeshe na upitishe mikono kila sehemu ya mwili wangu
Duh !
 
Post ya Zitto imenifanya niyaangalie haya mambo kwa mtazamo wa kidini, na inawezekana ni kweli yanafanyika kwa sababu hizo
naomba utufahamishe una elimu gani? na kimaisha umefikia level gani kiuongozi hapo ulipo?
 
naomba utufahamishe una elimu gani? na kimaisha umefikia level gani kiuongozi hapo ulipo?
Shahada ya Uzamili ya Tehama. Sijafika level yoyote ya kiuongozi (na pia sidhani kama uongozi una levels, maana huko Sri Lanka, aliyekuwa Rais wakati mmoja, Mahinda Rajapaksa, alikuja kuwa Waziri Mkuu wakati uliofuata, na sasa ni mbunge)
 
Back
Top Bottom