Zitto, baraza jipya la Mawaziri likufunze kwamba hakuna anayewaza tume Huru ya UCHAGUZI ,Watu wanawaza kupita bila kupingwa.

Zitto, baraza jipya la Mawaziri likufunze kwamba hakuna anayewaza tume Huru ya UCHAGUZI ,Watu wanawaza kupita bila kupingwa.

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Tulipoambiwa Kuna mabadiliko ya baraza kuwaruhusu wagombea Urais 2025 wakajiandae tulidhani wakitumbiliwa tutawaona Kwa sura zao na kusema hakika Hawa niwanamtandao wa Uchaguzi 2025.

Lilipotangazwa baraza tumejikutwa tunashangaa Hawa ndio waliomkwamisha mama? Wakati tunàshangaa tukaona vipeperushi LUKUVI spika ajaye, mara tukaulizwa vipi Chenge? Wengine wakahoji au Dotto James ndio alilengwa? Hapana ajuaye Hawa Watu wataanza lini kutuwazia sisi. Ila Kila mtu anajua kabla hata hatujafika nusu ya awamu hii wote tunawaza 2025 means tuna miaka mitano ya bla blaaa.

Hivi Kwa sarakasi hizi na homa hii yakuogopa kupingwa kwenye kura za maoni Zitto anaamini patazaliwa tume Huru? Mchakato Huru ndani ya chama umezimwa, Je Uhuru wa kuhesabu kura utatoka wapi?

Tusidanganyane hakuna mwenye carriage ya kwenda kusubiri uongozi ndani ya sanduku la kura. Wanajua wanayotutendea
 
Back
Top Bottom