Elections 2010 ZITTO: CHADEMA isipoangalia itakosa mbunge kigoma 2015

johnmashilatu

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2010
Posts
841
Reaction score
909
Jana naibu katibu mkuu wa CDM Zitto kabwe amefanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya kawawa mjini kigoma na kueleza haja ya kufanya tathnimini ndani ya chama juu ya uchaguzi uliopiita

Alisema katiak majimbo nane ya mkoa wa Kigoma CDM imepata kiti kimoja, NCCR mageuzi vinne na vilivyobaki vimekwenda kwa CCM

amesema jambo la kujiuliza kuwa kati ya wbaunge wanne wa NCCR mageuzi, watatu wametoka CDM na hadi mwaka jana walikuwa huko

amesema CDM ifanye tathimini kwani itacfika wakati hasa 2015 inaweza ikakos ambunge katika mkoa wa Kigoma
 
Amesema Chadema ifanye tathimini, yeye sio Chadema?
Nina wasiwasi na habari yako mkuu, source pls!
 
Chadema ikikosa hata kiti kimoja Kigoma, itapata vingine 100 around Tanzania, hiki ni Chama cha Ukombozi.
 
Zitto bana anazidi kuwakasirisha cdm, sijui ana mpango gani kichwani mwake
 
Jana naibu katibu mkuu wa CDM Zitto kabwe amefanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya kawawa mjini kigoma na kueleza haja ya kufanya tathnimini ndani ya chama juu ya uchaguzi uliopiita

Alisema katiak majimbo nane ya mkoa wa Kigoma CDM imepata kiti kimoja, NCCR mageuzi vinne na vilivyobaki vimekwenda kwa CCM

amesema jambo la kujiuliza kuwa kati ya wbaunge wanne wa NCCR mageuzi, watatu wametoka CDM na hadi mwaka jana walikuwa huko

amesema CDM ifanye tathimini kwani itacfika wakati hasa 2015 inaweza ikakos ambunge katika mkoa wa Kigoma

Hili ni eneo anakotoka NAIBU KATIBU MKUU Taifa CHADEMA Mhe Zitto Kabwe hivyo tunamuomba sisi wanachama atupe jibu linalojitosheleza kabisa kwamba iweje hali hiyo ilijitokeza na hata kusikika kwake kufadhili baadhi ya wale waliohama CDM na magari kwenye kampeni???

Ni vema umetukumbusha hili Zitto, tunaomba jibu kwako kwa niaba ya CHADEMA. Na kweli mkalitafakari vema ndani ya vikao vya chama maana viti hivi tunategemea kuvirudisha haraka sana na vingine vingi zaidi hapo kigoma ikiwa ni pamoja na kile cha Rostam Aziz kule Igunga. Kesi za ugaidi zinamnyemelea ile mbaya na mtandao wake mzima uko chini ya radar.

Safari hii hakutokuwepo na mnada wa kuchuuzia viti vya ubunge ambapo mwenye dau kubwa zaidi ndie anayeuziwa kiti cha ubunge.
 
huyu bwana zito naamini kabisa kuwa kalewa sifa, na kujiona yeye ndio yeye bila yeye mambo hayaendi, kama ni kweli kauli yake hiyo ina maana kwamba nae anataka kuhama CDM, awe muwazi au anatumiwa na awa mabwana wakubwa wanaodhani nchi hii ni ya kwao peke yao? wanaokula nyama bila hata kubakiza mifupa na wakibakiza wanaitupa mbali ili wale wasio na uwezo wanuse hata harufu ya nyama?
 
Zitto anasema kweli na kweli tupu! Kwa nini wale wanne wa NCCR waliondoka Chadema? Jibu: wameona ni chama kinachoendeshwa Kidikteta na Kidini, kama ni muIslam huna thamani Chadema, kama yanayomkuta Zitto sasa hivi na karibuni tutasukia Arfi nae hayo hayo.
 
ccm wameshazoea japo kwa maumivu kwa kukosa mbunge/mwakilishi kule pemba? Zitto analijua hilo?
 
Chadema wanavuna walichopanda, acha Zito awape ukweli ingawaje ukweli wenyewe unaonekana kuwauma.

Dhambi ya ubaguzi inaendelea kuwatafuna. Na ruzuku ya milioni 200 ni kichocheo kizuri cha kuharakisha kulimaliza hili dudu.

.... nazidi kujiuliza: hivi Chadema ni chama? au ni kampuni ya watu wa kabila fulani na dini fulani?
 
Zitto anasema kweli na kweli tupu! Kwa nini wale wanne wa NCCR waliondoka Chadema? Jibu: wameona ni chama kinachoendeshwa Kidikteta na Kidini, kama ni muIslam huna thamani Chadema, kama yanayomkuta Zitto sasa hivi na karibuni tutasukia Arfi nae hayo hayo.

Ndugu 'Dar es Salaam' / 'Yaya' / 'Malaria Sugu', labda hapo kwenye wino mwekundu ulikua ukizungumzia Sisiem ndi ulimi ukateleza au??
 
Back
Top Bottom