johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 841
- 909
Jana naibu katibu mkuu wa CDM Zitto kabwe amefanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya kawawa mjini kigoma na kueleza haja ya kufanya tathnimini ndani ya chama juu ya uchaguzi uliopiita
Alisema katiak majimbo nane ya mkoa wa Kigoma CDM imepata kiti kimoja, NCCR mageuzi vinne na vilivyobaki vimekwenda kwa CCM
amesema jambo la kujiuliza kuwa kati ya wbaunge wanne wa NCCR mageuzi, watatu wametoka CDM na hadi mwaka jana walikuwa huko
amesema CDM ifanye tathimini kwani itacfika wakati hasa 2015 inaweza ikakos ambunge katika mkoa wa Kigoma

Chadema ikikosa hata kiti kimoja Kigoma, itapata vingine 100 around Tanzania, hiki ni Chama cha Ukombozi.
Kum-komboa nani? Wacha pumba wewe!
kama wewe unahitaji ukombozi! NDIYO MAANA JIJI KUNUKA NA WEWE UMERIDHIKA TUU!Kum-komboa nani? Wacha pumba wewe!
Kum-komboa nani? Wacha pumba wewe!
Dar es Salaam=MS + Zitto= Makamba
Hence Proved
Zitto anasema kweli na kweli tupu! Kwa nini wale wanne wa NCCR waliondoka Chadema? Jibu: wameona ni chama kinachoendeshwa Kidikteta na Kidini, kama ni muIslam huna thamani Chadema, kama yanayomkuta Zitto sasa hivi na karibuni tutasukia Arfi nae hayo hayo.