confirmed! Huwa tunasema kila siku kuwa , cdm=chaga=christianity, sio chama cha siasa na kitakufa muda si mrefu
Jana naibu katibu mkuu wa CDM Zitto kabwe amefanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya kawawa mjini kigoma na kueleza haja ya kufanya tathnimini ndani ya chama juu ya uchaguzi uliopiita
Alisema katiak majimbo nane ya mkoa wa Kigoma CDM imepata kiti kimoja, NCCR mageuzi vinne na vilivyobaki vimekwenda kwa CCM
amesema jambo la kujiuliza kuwa kati ya wbaunge wanne wa NCCR mageuzi, watatu wametoka CDM na hadi mwaka jana walikuwa huko
amesema CDM ifanye tathimini kwani itacfika wakati hasa 2015 inaweza ikakos ambunge katika mkoa wa Kigoma
Jamani huyu zito si aondoke tu kwa amani ya bwana?????? Kwa nini anaendelea kuwa king'ang'anizi hivyo. I hate the guy now days coz amekuwa mshamba wa sifa. Sikutegemea kama kuna siku sifa zitamlewesha namna hii! Ondoka cdm zito utuache tuendelee kukijenga chama! SIFA ZINAUA BABA ACHA HIZO BANAAAAAA!
Kum-komboa nani? Wacha pumba wewe!
Jana naibu katibu mkuu wa CDM Zitto kabwe amefanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya kawawa mjini kigoma na kueleza haja ya kufanya tathnimini ndani ya chama juu ya uchaguzi uliopiita
Alisema katiak majimbo nane ya mkoa wa Kigoma CDM imepata kiti kimoja, NCCR mageuzi vinne na vilivyobaki vimekwenda kwa CCM
amesema jambo la kujiuliza kuwa kati ya wbaunge wanne wa NCCR mageuzi, watatu wametoka CDM na hadi mwaka jana walikuwa huko
amesema CDM ifanye tathimini kwani itacfika wakati hasa 2015 inaweza ikakos ambunge katika mkoa wa Kigoma
Nafikiri kosa tunalolifanya hapa ni kumuangalia mtoa kauli hii ambaye ni Zitto, mimi nafikiri tutafakari kile alichosema na sio tuangalie kijuu juu tu kwa kuwa aliyesema ni Zitto. Ukweli CDM wana haja ya kuangalia na kutathmini kulikoni, Kigoma iliyokuwa ngome yao imekuwaje sasa wapate mbunge mmoja tu na chama kama NCCR kimezoa viti vinne! na nipingane na ndugu yangu Kashaija, no matter how few the constituency are in Kigoma still CDM need them, kwenye siasa hata jimbo moja ni muhimu sana, na hivyo CDM isipuuze ayasemayo Zitto. Na pia tusifikiri CCM are not bothered with their situation at Pemba! tukifikiri hivyo tutakuwa tunafanya kosa kubwa sana, CCM sasa hawalali wakitathmini sio tu hali yao kule Pemba bali nchi nzima, na Chama makini siku zote hufanya hivi, yaani hufanya tathmini ya yatokanayo na uchaguzi ili kujipanga na kutorudia makosa! For the first time I second Zitto in this!Huyo bwana mdogo sasa amezidi kuwa mpuuzi, kwani CDM ikikosa kupata Mbunge Kigoma ndiyo mwisho wa maisha? Kwanza Mkoa wenyewe una majimbo nane tu ambayo ukilinganisha na majimbo ya nchi nzima ni sawa na tone la maji kwenye ndoo nzima.
Utakufa wewe CHADEMA itabaki!confirmed! huwa tunasema kila siku kuwa , CDM=CHAGA=CHRISTIANITY, sio chama cha siasa na kitakufa muda si mrefu
Ni kichekesho,,
Dar es salaam una posts 2153 hadi sasa lakini upepata thanks katika posts 84 tu. Kwa maneno mengine hujapewa thanks kwa posts zako 2071.
Ni muhimu ukatathmini kipaji chako cha kujenga hoja na kuwashiwishi wasomaji wako.