MUNDALI WA ILEJE
Member
- Sep 27, 2012
- 32
- 9
Na ndio maana tuliomba kuwa CC ya chama ivunje bavicha yote na kuundwa upya kwa kuwa wenyeviti wengi wa bavicha wilayani wanafadhiliwa na zito na walio wengi ni wale wote walio toka kumaliza chuo hivi karibuni na hawana kaz hivyo anawatumia kama mtaji wa kisiasa na mpaka anafikia atua ya kutangaza kugombea uraisi kwa kuwa anajua sapoti kubwa teyari ameiandaa nasema ni muda mwafaka chadema kuwaondoa ndani ya chama wanafiki wote na wakaanzishe chama chao lakin kuzidi kuwakumbatia hawa jamaa kwa kuogopa kuwapa watu mtaji wa kisiasa watu wengi wanazidi kukata tamaa baada ya kuona kuwa wanazikimbia lafu ccm wanakuja kukumbana nazo huku.
Mwenyekiti tunaomba utumie kiti chako kuyasawazisha haya pasipo kumuogopa mtu kwa kuwa hakuna aliye zaliwa na chadema wote wamekikuta.
Mwenyekiti tunaomba utumie kiti chako kuyasawazisha haya pasipo kumuogopa mtu kwa kuwa hakuna aliye zaliwa na chadema wote wamekikuta.