“Kwa Zitto msiwe na wasiwasi Rais JK alishamaliza kazi “ kila aliehudhuria kile kikao aliposikia Zitto ni mwenzetu alihamaki kidogo na kikao hicho kilifanyika Iringa eneo maalumu na kilihudhuriwa na viongozi wakubwa wa CCM isipokuwa Mwenyekiti wa taifa.
Hiyo ilikuwa ni kati ya miaka 2009, 2010, 2011
Hiyo kauli kamwe sikuweza kuiamini lakini chama chake kilipomfukuza na kumwita ndumilakuwili na kumtuhumu kuvujisha siri nyingi za chadema hasa kwa watawala akili ikawa inakumbuka sana ile kauli ya pale juu.
Pili nikajiuliza kwanini ACT yake imekaa kimichongo yaani chama kipo Kigoma tu kwao mjini na Zanzibar walikopewa umakamo taratibu nikagundua huyu bwana Zitto yuko compromised isipokuwa baada ya Magufuli kuwaondoa kwenye payroll, na kuwabwaga nje wapinzani janja janja ndio Zitto akaanza kuishambulia sana serikali ya Magufuli na ni kwa sababu ya maslahi.
Zitto niliyepata kumfahamu ni yule wa kabla ya tume ya buzwagi lakini Zitto aliyeingia kwenye tume ile ya madini ndio zitto wa leo sasa.
Umeona sasa alipoingia Rais Samia na Zitto wenu kukaribishwa mezani kwa sasa anakula chakula unadhani utamuona akiinanga serikali vibaya hapana kazi yake itakua kumnanga marehemu magufuli tu ili kupoteza maboya lakini wenye akili tumeshamshtukia hana nia njema huyo.
Ukifikiri Zitto ana tofauti na mrema, shibuda, cheyo kwa sasa unakua umekosea hao wote ni kundi moja na hawaitaki katiba mpya maana hii iliyopo wao inawafaa.
MANENO HAYO YA MZEE KALINGA WA PAWAGA ALIPOKUA AKIMUHADITHIA MZEE SHIGAHELA WA NGUDU WALIPOKUA WAKIELEKEA BUGANDO KUONA MGONJWA WAO.