denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Dogo unatoka nje ya mstari, rudi mstarini, umeshasahau ulikuwa unampigia vigelegele Zitto?!Mbowe alifungwa lini kama sio enzi za magufuli, na hapo ni kwasababu aliokuwa anawatanguliza akina slaa waliondoka chadema, akina tundu lissu na lema wako canada.
Kwahiyo siasa ya upinzani sharti ufungwe ndipo uonekane mpinzani?
Unasema nalazimisha kumsemea mtu wakati uko hapa hapa unamsemea zitto kwa mabaya.
Pambana na chama chenu mwacheni na chama chake si mlimfukuza?
Jela ni kukuelezea tu upana wake uelewe, wacha hasira umechagua fungu bovu mwenyewe.