denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Mbowe aliombewa msamaha kwa kosa gani dogo?! nani alimtuma Zitto?Mbowe alimuombea msamaha kama Mtanzania yoyote yule. Ile haina impact kwa chama. Sasa nyie mnataka afuate sera zenu na uelekeo wa chadema na tena mnaenda mbali zaidi kwa kumshambulia kwa kutofuata sera na maono yenu.
Kumwambia raisi amwachie Mbowe kumebadili nini kwenye sera za chama?
Kila mtu afanye siasa zake kama anavyoona.
Ila Mbowe ni muungwana sana, yeye kama yeye hata zitto aliposema yale hajamshambulia. Na zitto kakili alimtembelea mara kadhaa wakazungumza akiwa ndani
Hebu punguza hizi kelele zako, yule DPP wenu sio mjinga kwa kile alichofanya.