Zitto ni opportunist ni msaliti wa upinzani period,
ni kweli kila mtu afanye siasa zake lkn siasa za Zitto za kupandia na kuharibu walichoanziaha wengine sio sawa,
Akiwa Chadema alitumiwa kuanzisha uasi ndani ya chama kumbuka MM, M1, M2 M3 na wenzake kina Mkumbo, Waitra, Mwigamba leo wako wapi, wametangulia CCM yeye kavaa joho la upinzani kupambana na wapinzani.
Hizi ndio zile stori alizokuwa anachonga Kubebea kupitia MwanaHalisi na Mawio au Kuna kingine?
Maana hata Mimi nilizisoma sana, enzi hizo Dk Slaa ( sasa hivi Dokta Mihogo aka Mzee Mpumbavu 🤣) ndio Katibu Mkuu wa CDM.
Enzi hizo KUBENEA anachora propaganda zake akowahusisha TISS anasema wanamtumia Zitto. Mara ghafla 2025 KUBENEA huyo huyo akaungana na Zitto huko ACT.
Katumwa kwenda kuwarubuni Wazanzibari na kufifisha kudai nchi yao kaivuruga CUF kamkaribisha Maalimu Seif ili amumalize through ACT na kaimaliza kweli.
KATUMWA na Nani?
Maana mimi ninachojua Wazanzibar wanataka Tume huru ya uchaguzi, maana Katiba wanayo tangu 2008 iliyotamka Zanzibar Ni nchi.
Na suala la SUK limeanza tangu 2008 huko wakati huyo Zitto hayuko huko na Wazanzibar. Hata Maalim Seif mwenyewe kafariki akiwa ndani ya SUK kama Makamu wa kwanza wa Rais, Zanzibar.
Tangu mwanzo wapinzani na hata yeye walikuwa na madai ya Katiba mpya kuona wanaaza kufanikiwa kaja na ajenda yake ya Tume huru mradi tu kuwagawa wapinzani.
Kuwagawaje wapinzani?
Kwanini tusiseme nyie CDM ndio mnagawa wapinzani?
Kwamba ili usionekane msaliti na unawagawa wapinzani, inatakiwa UFUATE kila wanachotaka CDM??
Leo hii anajificha kwa mgongi wa TCD kama platform yake mpya baada ya kuona jukwaa la ACT limejulikana lengo lake. Kwanza muda wake umeisha anang’ang’ania nini TCD.
TCD Ni umoja wa vyama vya siasa na kila mwenyekiti wa chama, atakuwa Kiongozi kwa mwaka mmoja mmoja. 2021/22 Ni zamu ya ACT na mwakani Kuna mwingine.
Sasa Hap anajifichaje?
Zitto hata mmpambe vipi tangu mwanzo anajulikana kwa udini na kwa usaliti wake.
Anyway, hiyo Ni kawaida kwa wanasiasa. Sisi tusio na Vyama tunaona. Hata CDM inajukikana na UKABILA na UBINAFSI.
Zitto alipiga sana dili NSSF enzi za DAU, na CDM bila kiwa mchagga utabaki tu kusindikiza wenzako.
CDM imevuna Ruzuku zaidi ya Milioni 400 kila mwezi kwa miaka 5 lakini Leo hata ofisi Hakuna, ukihoji yatakukuta ya CHACHA WANGWE au Zitto.