kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Kikubwa cuf na chadema iko Zanzibar ajipange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshakwambia na nakwambia tena, hujui unachoandika unaleta ubishi wa kitoto tu.Sasa kwanini hilo swali la kujua uwa hamlotumii linapokuja swala la zitto? Yani mnamhukumu kwa hisia na hearsay, ila likija kwa mtu wenu mtataka ushahidi.
Acheni double standards na kujiona nyinyi ndio bora
Mbowe ni msaliti, kwanini kaenda ikulu bila kujulisha chama, alienda kukiuza Chama.Umeandika ramli tupu, unaendelea kujitutumua tu.
Kwani wewe unajua Mbowe alivyoenda ikulu aliongea nini?
Sasa unamlazimisha atake ianze katiba kisa Chadema inataka katiba itangulie?Nimeshakwambia na nakwambia tena, hujui unachoandika unaleta ubishi wa kitoto tu.
- Zitto kukutana na JK usiku akiulizwa anasema JK ni sawa na baba yake halafu mchana anautaka uenyekiti wa CDM haikuwa hearsay.
- Baada ya kuona haaminiwi, akaanzisha mkakati wa kumpindua Mbowe uliokuja kujulikana baadae mpaka wakafukuzwa na wenzake kina Kitila nayo haikuwa hearsay.
- Zitto kutamka awamu hii hatakuwa anapinga haikuwa hearsay, ni kauli yake.
- Zitto kusema ianze Tume Huru badala ya Katiba Mpya baada ya Samia kusema Katiba Mpya isubiri kwa wenye akili timamu walijua Zitto anamaanisha nini, nayo haikuwa hearsay, labda wewe kiazi ndio hukuelewa.
So, usiniletee ligi ya kitoto hapa katafute wa saizi yako ucheze nao. Zitto ni tapeli.