Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,718
- 1,481
UsitufokeeKatika hili wamezengua sana hawa jamaa. Wote ACT na CHADEMA.
Kiufupi ni wamefanya tathmini na nahisi wamejiridhisha kwamba hawawezi kumuondoa Mheshimiwa rais Magufuli madarakani, hivyo wanachokifanya ni kujaribu tu kuwa chama kuku cha upinzani. Yaani CDM na ACT wote wanagombania nafasi ya pili.
Kadi yangu ya CCM sijailipia mwaka wa kumi sasa ila kwa upumbavu huu naenda kuilipia soon.
Wangari Maathai
Jinga kabisa upinzani matumboUsitufokee
Zito ni ccm b mkuu..ana ajenda zakeKatika hili wamezengua sana hawa jamaa. Wote ACT na CHADEMA.
Kiufupi ni wamefanya tathmini na nahisi wamejiridhisha kwamba hawawezi kumuondoa Mheshimiwa rais Magufuli madarakani, hivyo wanachokifanya ni kujaribu tu kuwa chama kuku cha upinzani. Yaani CDM na ACT wote wanagombania nafasi ya pili.
Kadi yangu ya CCM sijailipia mwaka wa kumi sasa ila kwa upumbavu huu naenda kuilipia soon.
Wangari Maathai
Walau kaonesha na fedha zitapatikana wapi, hio ni trilioni 2 kwa mwaka. Bajeti ya sasa zaidi ya trilioni 2 ni mikopo. Nyingine zimejengea stigla na ununuzi wa ndege.Kimsingi Zitto kaongea ya maana
Naona ana copy sana REA ambayo nayo ilikuwa idea yake
But what if mikopo isipopatikana?
Kukopa trillion 10 sio shughuli ndogo..
Ina maana miradi ya maji ndo itakufa?
Sio kweli masmuzi ya halmashauri hufanywa na baraza la madiwani na meya wao .Ujiji iko chini ya ACT wazalendo walitakiwa waeleze walichoweka kwenye Ilani iliyopita walikitekelezaje kwenye halmashauri Yao ambako wao ndio waamuziUna hoja ila utekelezaji kwa kodi zipi mkuu?
Maamuzi mengi makubwa ya kisera/sheria yanafanywa na serikali iliyo madarakani. Madiwani na Halmashauri zinaishia kutunga sheria ndogo zisizo na mashiko.
Tungekuwa na mfumo wa majimbo labda
Zito ni ccm b mkuu..ana ajenda zake
Ukweli hatupo serious ...!yaani niliwaza had nahis kuumwa
Shida sionkufuta madeni mkopaji anahitaji vyanzo vya mapato kuyalipa wangejikita. Hapo zaidi sababu ukifuta Deni tu Hana ajira Hana he'll impact Ni zero!!! Ufute usifute status yake haibadilikiHapo kwenye kufuta madeni ya Elim ya juu naona ni kutaka kufurahisha voters tu..
Hii nchi bila massive taxation maendeleo mtaendelea kuyaongea tu..
Wale ambao wameshalipa utawa refund?
Kodi na mikopo wanapitisha pia baraza la madiwani?Sio kweli masmuzi ya halmashauri hufanywa na baraza la madiwani na meya wao .Ujiji iko chini ya ACT wazalendo walitakiwa waeleze walichoweka kwenye Ilani iliyopita walikitekelezaje kwenye halmashauri Yao ambako wao ndio waamuzi
Zito ni ccm b mkuu..ana ajenda zake
Ukweli hatupo serious ...!yaani niliwaza had nahis kuumwa
Kabisa mtu wangu.Zito ni ccm b mkuu..ana ajenda zake
Ukweli hatupo serious ...!yaani niliwaza had nahis kuumwa
Mwisho wa siku tunatengeneza very unproductive skilled labor....Shida sionkufuta madeni mkopaji anahitaji vyanzo vya mapato kuyalipa wangejikita. Hapo zaidi sababu ukifuta Deni tu Hana ajira Hana he'll impact Ni zero!!! Ufute usifute status yake haibadiliki
Mie sipigi Kura...ujinga tu..kila nikikumbuka la lowasa nahis napata uchizi .. upinzani wanapisema wawe kitu kimoja wanaamanisha nn...maana lisu juzi nimemskia anasema hivyo mku5wa ActKabisa mtu wangu.
Yaani hatupo serious kabisa. Ndio ile ishu nkakwambia tutaongea private.
ZZK heshima kwako..
Leo Mh Membe amechukua form kugombea urais kama mgombea kutoka ACT.
Bila shala kesho pia TL atachukua form kugombea urais kwa tiketi ya CDM.
Kifupi upinzani kupitia vyama viwili vyenye nguvu na wafuasi mnasimamisha wagombea wawili kwa nafasi moja kwa maana you compete each other hamuoni hapa mnagawa kura za upinzania na kumpa urahisi mgombea wa CCM?..
Hamuoni hali hii ya nyie wenyewe kuwa washindani na pia kushindana na JPM mwenye kura zisizogawika nyingi mnakatisha tamaa wapenda mabadiriko na kuona haina maana tena kuendelea kussuport upinzani wenye kuangalia maslahi binafsi?
Kama upinzani mmeshindwa kukaa chini na kukibaliana hamuoni hali hii inatia shaka kwenye mustakabali mzima wa kuwapa nchi kama si watu mnaoweza kujadili, kukubaliana na kuamua?.
Nini Lengo la ACT kuilekea uchaguzi mkuu?
Je ACT mmemfanyia Mh Membe vetting ya kutosha na kujiridhisha anafaa kugombea uraisi??.