Zitto Kabwe adai barua yake kwa Benki ya Dunia inapotoshwa. Asema hajazuia mkopo kwa Tanzania bali amewatetea watoto wanaopata ujauzito wakiwa shuleni

Tatizo liko kwenye uwezo wako wa kuelewa. Wanaozungumziwa ni watoto under 18. Wengi wa watoto hao ni wahanga wa umasikini wa familia zao, mila potofu, kubakwa. Tafiti za kitaalamu zimeonyesha hivyo mengine ni kelele za waropokaji na wanaojipendekeza kwao. Kupata elimu ni haki yao ya msingi. Pia ili kuwa na uwezo wa kujiondoa wao na vizazi vyao kutoka kwenye lindi la umasikini, maradhi na ujinga, elimu ni nyenzo muhimu. Sijui kwa nini kuna hata baadhi ya viongozi wetu hata Jiwe hawaoni aibu kujitoa fahamu. Amen
 

Attachments


Mkuu, nadhani huyatambui haya mambo kwa ufasaha na unaongozwa na mihemko katika hoja yako.

FACTS!
a) Mimba za utotoni ni tatizo. Zitaendelea kutokea wawe wanaendelea au hawaendelei na shule.
b) Hakuna anayeweza kusema kuwa kupata mimba utotoni ndio mwisho wa maisha ya mama. Mama huyo bado atatakiwa kuwa na mchango kijamii hata kama ataacha shule.

Je, tunachagua kutumia mimba au mtoto wake kama adhabu?? Je tunataka michango ya hawa mama isiwe na maana baadae huku tukisema kila mtoto ana haki ya kupata elimu?

Umetoa mfano mzuri kuwa wakiachiwa kuendelea na masomo - ipo siku kutakuwa hakuna wanafunzi darasani. Sijui kama umegundua hapo ndio kiwango chako cha fikra kimekwama!! Kwa hiyo ikifikia hapo ndio tuwe na taifa la wanawake wasio na elimu?? Au tuseme wanawake wasiwe na mchango kwa taifa tena?? Au tusomeshe wa kiume tu??

Nikufundishe kitu hapa. Nenda katafute elimu kwenye mambo haya kutoka UNited Nations initiatives - Women in Development, Women and Development na Women and Gender. Tanzania iliweka saini makubaliano hayo na ina wajibu wa kuyatekeleza. Unajua gender equality na gender equity? Jifunze ujue kwanini msimamo wetu kuhusu swala la mimba ni potofu.

Access to education is a universal right!!
 
nakuunga mkona mkuu upo sawa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm nipo kigoma hapa mkuu nina almost one month, kuna wazee walisimama kumtetea zito na kutoa vitisho, baada ya siku mbili walitokea umati wa wazee wengne wa hapa ujiji wakidai wamemchoka zito anatapatapa ka mfa maji akijua kuwa 2020 harud tena, wameenda mbali wakisema zito amekuwa msalit na kuzalilisha sehem anayotoka pia wana lalamika amekuwa kikwazo kwa wana kigoma kupata maendeleo, lakin pia mtaani hasa vijana ndo hivyo hawataki kusikia habali zake kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia kwa makini unachokiandika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu ambao hawaielewi barua ya Zitto ni vilaza wa kimataifa
Upuuzi wa Sub boofer ndio tatizo linaanzia hapo, hana uelewa kisha kuna kikundi cha wabunge wajinga ambao kwa vile katika masuala ya msingi hawana uwezo wa kuchangia hoja za msingi basi mambo ya hovyo ndio nafasi yao kuzungumza bungeni.
Zitto wapi kasema nchi inyimwe mkopo? Kama watu hawajui kusoma kiingereza cha barua wataweza miswada ya sheria?
 
Ukitaka upotee njia ambatana na zitto. Zitto Mi nakufahamu sina shida na yote unayoyasema. Maana soon utaweka mambo sawa na mpunga utaingia.
 
Zitto ametukumbusha yale ambajo vyama vya siasa vikubwa viliahidi kutekeleza ili watoto wetu wote wapate elimu bila ubaguzi. Ajabu, chama chenye serikali kimepata kigugumizi baada ya kiongozi wake wa serikali kuitosa ilani yao ya uchaguzi kwa mtazamo wake binafsi. Badala ya kumuwajibisha kiongozi wao wanatishia kumuua Zitto!
 
Kila mtu wa wapi? Wenye akili wote wanajua hoja ya Zitto INA mashiko ndio maana hata WB wakaendelea kugoma kutoa hadi mabadiliko yafanyike. Hao watoto mnao wanyanyapaa wamewakosea nini lakini?
Nyie majitu muwabake wapate mimba kwa nyege zenu, muwafukuze wasipate elimu kwa mfumo rasmi kisha wakianza kutafuta maisha yao baadae mnawalipisha madeni ya WB kwa fedha ambazo awali mlijiapiza "kamwe hawatasoma hao wazazi kwenye utawala wangu"
Mbona mna roho za shetani kiasi hicho?
 
Wakati anataka kurudi ndio anabadili kauli.
 
Maccm yamechagua kuwa majinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…