Zitto Kabwe adai barua yake kwa Benki ya Dunia inapotoshwa. Asema hajazuia mkopo kwa Tanzania bali amewatetea watoto wanaopata ujauzito wakiwa shuleni

Sikubaliani na hoja ya Zitto hata kidogo, tatizo la mimba kwa wanafunzi ni tatizo dogo sana na chanzo chake ni tamaa za hao wanafunzi na ukosefu wa maadili kunakoambatana na kiburi Cha kutosikiliza kwa makini maonyo ya wazazi, walimu na walezi.

Kama, Kuna ambao ni wahanga wa vitendo vya unyanyasaji wa kingono au ubakaji na wamepata mimba hao ni kweli wanahitaji kurudi shule lakini wanatakiwa kujengewa shule zao ili wawe wanapata msaada wa kisaikolojia zaidi na pengine Zitto kama angekuwa na akili timamu angetoa mapendekezo ya kuwasaidia wahanga zaidi kuliko hao wanaoneng'eneka.

Suala la mwanafunzi aliyepata mimba kurudi shule sikubaliani nalo kabisa kwa sababu Kuna siku darasa litakosa wanafunzi kabisa kisa wanafunzi Wana mimba wanahitaji kujifungua au wanaomba likizo ya uzazi. Hapo Nani wa kulaumiwa?
Tatizo liko kwenye uwezo wako wa kuelewa. Wanaozungumziwa ni watoto under 18. Wengi wa watoto hao ni wahanga wa umasikini wa familia zao, mila potofu, kubakwa. Tafiti za kitaalamu zimeonyesha hivyo mengine ni kelele za waropokaji na wanaojipendekeza kwao. Kupata elimu ni haki yao ya msingi. Pia ili kuwa na uwezo wa kujiondoa wao na vizazi vyao kutoka kwenye lindi la umasikini, maradhi na ujinga, elimu ni nyenzo muhimu. Sijui kwa nini kuna hata baadhi ya viongozi wetu hata Jiwe hawaoni aibu kujitoa fahamu. Amen
 
Attachments

Sikubaliani na hoja ya Zitto hata kidogo, tatizo la mimba kwa wanafunzi ni tatizo dogo sana na chanzo chake ni tamaa za hao wanafunzi na ukosefu wa maadili kunakoambatana na kiburi Cha kutosikiliza kwa makini maonyo ya wazazi, walimu na walezi.

Kama, Kuna ambao ni wahanga wa vitendo vya unyanyasaji wa kingono au ubakaji na wamepata mimba hao ni kweli wanahitaji kurudi shule lakini wanatakiwa kujengewa shule zao ili wawe wanapata msaada wa kisaikolojia zaidi na pengine Zitto kama angekuwa na akili timamu angetoa mapendekezo ya kuwasaidia wahanga zaidi kuliko hao wanaoneng'eneka.

Suala la mwanafunzi aliyepata mimba kurudi shule sikubaliani nalo kabisa kwa sababu Kuna siku darasa litakosa wanafunzi kabisa kisa wanafunzi Wana mimba wanahitaji kujifungua au wanaomba likizo ya uzazi. Hapo Nani wa kulaumiwa?

Mkuu, nadhani huyatambui haya mambo kwa ufasaha na unaongozwa na mihemko katika hoja yako.

FACTS!
a) Mimba za utotoni ni tatizo. Zitaendelea kutokea wawe wanaendelea au hawaendelei na shule.
b) Hakuna anayeweza kusema kuwa kupata mimba utotoni ndio mwisho wa maisha ya mama. Mama huyo bado atatakiwa kuwa na mchango kijamii hata kama ataacha shule.

Je, tunachagua kutumia mimba au mtoto wake kama adhabu?? Je tunataka michango ya hawa mama isiwe na maana baadae huku tukisema kila mtoto ana haki ya kupata elimu?

Umetoa mfano mzuri kuwa wakiachiwa kuendelea na masomo - ipo siku kutakuwa hakuna wanafunzi darasani. Sijui kama umegundua hapo ndio kiwango chako cha fikra kimekwama!! Kwa hiyo ikifikia hapo ndio tuwe na taifa la wanawake wasio na elimu?? Au tuseme wanawake wasiwe na mchango kwa taifa tena?? Au tusomeshe wa kiume tu??

Nikufundishe kitu hapa. Nenda katafute elimu kwenye mambo haya kutoka UNited Nations initiatives - Women in Development, Women and Development na Women and Gender. Tanzania iliweka saini makubaliano hayo na ina wajibu wa kuyatekeleza. Unajua gender equality na gender equity? Jifunze ujue kwanini msimamo wetu kuhusu swala la mimba ni potofu.

Access to education is a universal right!!
 
Sikubaliani na hoja ya Zitto hata kidogo, tatizo la mimba kwa wanafunzi ni tatizo dogo sana na chanzo chake ni tamaa za hao wanafunzi na ukosefu wa maadili kunakoambatana na kiburi Cha kutosikiliza kwa makini maonyo ya wazazi, walimu na walezi.

Kama, Kuna ambao ni wahanga wa vitendo vya unyanyasaji wa kingono au ubakaji na wamepata mimba hao ni kweli wanahitaji kurudi shule lakini wanatakiwa kujengewa shule zao ili wawe wanapata msaada wa kisaikolojia zaidi na pengine Zitto kama angekuwa na akili timamu angetoa mapendekezo ya kuwasaidia wahanga zaidi kuliko hao wanaoneng'eneka.

Suala la mwanafunzi aliyepata mimba kurudi shule sikubaliani nalo kabisa kwa sababu Kuna siku darasa litakosa wanafunzi kabisa kisa wanafunzi Wana mimba wanahitaji kujifungua au wanaomba likizo ya uzazi. Hapo Nani wa kulaumiwa?
nakuunga mkona mkuu upo sawa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miss zomboko,
Zitto Kabwe tuna taarifa zake Nzito huko Kigoma. Kumbe upo kwenye hali mbaya hivyo nyumbahaikaliki. Na bado mpaka wake zako watakukana, Marafiki zako watakukimbia. Vijana wamekuchoka na wanakuogopa haswa baada ya kujiridhisha kuwa una kikosi chako maeneo mbalimbali wengi wakiwa Kagunga. Vijana wameabarishana kuwa uliwakimbia Vijijini katika Jimbo la Kigoma Kaskazini kutokana na kukutwa uki wnga huko Kagunga. Kijana mdogo una Wang unaongozwa na wanaojiita Wazee kumbe ni sehemu ya kikosi cha kchaw.
Waganga wako wamepanga kuachana nawewe eti umeingiliwa na gund, ila Wanasubiria uwatoe za ulinzi uchaguzi Mkuu 2020[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Wameona haueleweki mambo yako.
mm nipo kigoma hapa mkuu nina almost one month, kuna wazee walisimama kumtetea zito na kutoa vitisho, baada ya siku mbili walitokea umati wa wazee wengne wa hapa ujiji wakidai wamemchoka zito anatapatapa ka mfa maji akijua kuwa 2020 harud tena, wameenda mbali wakisema zito amekuwa msalit na kuzalilisha sehem anayotoka pia wana lalamika amekuwa kikwazo kwa wana kigoma kupata maendeleo, lakin pia mtaani hasa vijana ndo hivyo hawataki kusikia habali zake kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia kwa makini unachokiandika

Watu ambao hawaielewi barua ya Zitto ni vilaza wa kimataifa
Upuuzi wa Sub boofer ndio tatizo linaanzia hapo, hana uelewa kisha kuna kikundi cha wabunge wajinga ambao kwa vile katika masuala ya msingi hawana uwezo wa kuchangia hoja za msingi basi mambo ya hovyo ndio nafasi yao kuzungumza bungeni.
Zitto wapi kasema nchi inyimwe mkopo? Kama watu hawajui kusoma kiingereza cha barua wataweza miswada ya sheria?
 
Ukitaka upotee njia ambatana na zitto. Zitto Mi nakufahamu sina shida na yote unayoyasema. Maana soon utaweka mambo sawa na mpunga utaingia.
 
Zitto ametukumbusha yale ambajo vyama vya siasa vikubwa viliahidi kutekeleza ili watoto wetu wote wapate elimu bila ubaguzi. Ajabu, chama chenye serikali kimepata kigugumizi baada ya kiongozi wake wa serikali kuitosa ilani yao ya uchaguzi kwa mtazamo wake binafsi. Badala ya kumuwajibisha kiongozi wao wanatishia kumuua Zitto!
 
Mhuni huyu Zitto. Hii ni sawa na Mtu aliyejinyea mbele ya watu na kudai alikuwa anajaribu kujamba. Mahojiano yote BBC na kwenye barua yanaonyesha nia ya dhati ya Zitto kuitaka Benki ya Dunia KUZUIA FEDHA HIZO ZISIINGIE NCHINI. sasa anaona kila mtu anamlaumu anasingizia upuuzi!
Kila mtu wa wapi? Wenye akili wote wanajua hoja ya Zitto INA mashiko ndio maana hata WB wakaendelea kugoma kutoa hadi mabadiliko yafanyike. Hao watoto mnao wanyanyapaa wamewakosea nini lakini?
Nyie majitu muwabake wapate mimba kwa nyege zenu, muwafukuze wasipate elimu kwa mfumo rasmi kisha wakianza kutafuta maisha yao baadae mnawalipisha madeni ya WB kwa fedha ambazo awali mlijiapiza "kamwe hawatasoma hao wazazi kwenye utawala wangu"
Mbona mna roho za shetani kiasi hicho?
 
Wakati anataka kurudi ndio anabadili kauli.
 
Upuuzi wa Sub boofer ndio tatizo linaanzia hapo, hana uelewa kisha kuna kikundi cha wabunge wajinga ambao kwa vile katika masuala ya msingi hawana uwezo wa kuchangia hoja za msingi basi mambo ya hovyo ndio nafasi yao kuzungumza bungeni.
Zitto wapi kasema nchi inyimwe mkopo? Kama watu hawajui kusoma kiingereza cha barua wataweza miswada ya sheria?
Maccm yamechagua kuwa majinga
 
Back
Top Bottom