Zitto Kabwe adai nyumba yake ilichomwa moto ili kumzuia asiende kumuona Lissu hospitali Nairobi

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi.

..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani.

..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.

Ngumu sana kumuamini Zitto Kabwe
Ndio maana sipendi chama, CHADEMA tatizo lenu hamtaki mtu apishane fikra na nyie ila nyie mnaona mnakuwa sahihi kupinga fikra za wenzenu hata zikiwa sahihi.

CHADEMA si chama cha kuaminika walikuwa na mengi sana kabla ya uchaguzi 2015, Richmond na Lowassa ndio ilikuwa ajenda yao, lakini cha kushangaa Lowassa wa Richmond ndio akawa mgombea wao. Hii ni hatari sana.
 
Ajabu sana, leo tukizungumzia mfumuko wa bei Zitto anaturudisha nyuma kutuondoa kwenye lengo la msingi ili kuifichia udhaifu serikali aliyosema hataipinga.

Last time alisema mashamba yake yalichomwa, leo nyumba, ngoja tusubiri na next time tujue alichomewa nini kingine.

Iwe uongo au kweli; Zitto ungeyasema haya mapema ingekuwa na maana zaidi ya kuyasema sasa, viongozi waoga wa aina yako hawatakiwi, endelea na mapambio tu kwa sasa.
 
..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi.

..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani.

..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.

Zitto wataje hao watu
 
Na aliyeichoma na Magu.

Lazima anamlenga Magu.

Hii kitu inaitwa Maridhiano ni moja wapo ya movements tu za kuendelea kumchafua Dr. Magufuli.

Yaani wanataka kumbrand kama Mhalifu ambaye hajawahi tokea Tangu tumepata uhuru.

Hii sio sawa.

Unataka kusema kwamba Hakuna walioumizwa na utawala wa Nyerere?Mwinyi?Mkapa? Kikwete?? Au hata sasa.

Siasa zinazofanyika sasa is beyond ubinadamu maana wahusika hawana hata aibu kabisa.
 
Ajabu sana, leo tukizungumzia mfumuko wa bei Zitto anaturudisha nyuma kutuondoa kwenye lengo la msingi ili kuifichia udhaifu serikali aliyosema hataipinga.

Last time alisema mashamba yake yalichomwa, leo nyumba, ngoja tusubiri na next time tujue alichomewa nini kingine.

Iwe uongo au kweli; Zitto ungeyasema haya mapema ingekuwa na maana zaidi ya kuyasema sasa, viongozi waoga wa aina yako hawatakiwi, endelea na mapambio tu kwa sasa.
Zitto ni snitch sana,inamaana anazo nyumba nyingi mpaka anaisahau hii kuwa nayo ilichomwa moto kipindi kile analalamika kuchomewa mashamba yake na mali zake zingine!!??? Zitto si wa kumuamini ata kidogo, nchi ipo kwenye giza la mfumuko wabei wakila kitu yeye hana habari na hilo.
 
Na aliyeichoma na Magu.

Lazima anamlenga Magu.

Hii kitu inaitwa Maridhiano ni moja wapo ya movements tu za kuendelea kumchafua Dr. Magufuli.

Yaani wanataka kumbrand kama Mhalifu ambaye hajawahi tokea Tangu tumepata uhuru.

Hii sio sawa.

Unataka kusema kwamba Hakuna walioumizwa na utawala wa Nyerere?Mwinyi?Mkapa? Kikwete?? Au hata sasa.

Siasa zinazofanyika sasa is beyond ubinadamu maana wahusika hawana hata aibu kabisa.
Hilo halina ubishi,ondoka watu wajadili mabaya yako.
 
Ngumu sana kumuamini Zitto Kabwe
... hapo anataka apate kamba ya namna yake lakini ndefu. Alipokatiwa mrija wa hela za madini alikuwa mbogo sana. Nadhani mama amehsamrahisishia kupenyeza mrija huo tena. Iwapo hata ripoti za Maji ya mto Mara zimeanza kupindishwa ni dhahiri kuwa mirija mingine iliyokatwa na Magufuli imeanza kurudi.
 
278233394_968598634028307_8262515713431936644_n.jpg
 
Back
Top Bottom