Zitto Kabwe afunguliwa kesi na Harbinder Singh kisa sakata la IPTL

Si wanajuana hao?
 
Duh hii nchi hii....

Huenda miaka Kenda ijayo tutakuwa tunazungumzia mwanasiasa fulani kufunguliwa kesi na ADANI au yoyote yule tutakayempa TANESCO badala ya kuongelea authenticity ya hawa mafisadi na jamaa zao walamba asali wanaonufaika na hii Mikataba ya Ki Mangungo....
 
Hajahabarisha anajitetea! Hiyo sio habari ni utetezi, angepaswa akautoe mahakamani. Soma utetezi wake. Wakili wake, angeweza habarisha kwa niaba yake.

Tayari ukiangalia lugha ya mwili ya mwanasiasa huyu mkongwe ameshajua mchezo wa nyuma ya pazia, dola inamtumia raia mmoja dhidi ya mwingine kuekekea uchaguzi 'huru' wa Oktoba 2025
 
Ukome kabisa Zito Kabwe ulishangilia sana kufa cha Magufuli hadi ukasema anayempenda Magufuli akazikwe nae, kumbe hukujua kuwa mbaya wako Seth ametulizwa na Magufuli. 😄.
Ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya ~~~ Magufuli
 
Harbinder Sing anaenda kuibua sintofahamu mpya katika tasnia ya siasa.
 
Harbinder, Rostam, Jakaya, Kinana, the stiff necks.

Seems they haven't learned their lesson.​
 
Hiyo Zitto anaiona ni fursa ya kisiasa na sio kesi.

Ni kweli, ndio maana amekuwa "unprofessional" ameanza kujitetea kwa kuita vyombo vya habari, ili apate huruma ya jamii "public sympathy".
 
Huyu singasinga atapata aibu.
Hawa akina Kabwe wanajua kila kitu
Ngoja tuone.
 
Huyu singasinga atapata aibu.
Hawa akina Kabwe wanajua kila kitu
Ngoja tuone.
 
Amfungulie na Kafulila, aliyepigania hizo pesa mpaka akaitwa tumbili.
Tumbili analamba asali kwa sasa anaweza kabisa kusema Singh alionewa na alipwe mabilione mengine kama fidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…