Zitto Kabwe afunguliwa kesi na Harbinder Singh kisa sakata la IPTL

Huyu ni msaliti mkubwa wa mabadiliko, acha apambane na hali yake, na haikuwa na haja ya kuutangazia umma.
Nafikiri hakuleta habari hii kukulenga wewe., bali aliwalenga wale waliotaka kumsikiliza. Ila kama na wewe ulipenda kumsikiliza kisa umtukane, ni jambo jema sana.
 
Yupo kwenye press conference sasa hivi akiielezea hii kesi na kutoa fafanuzi mbali mbali lakini vilevile akitoa shutuma na vilevile vitisho kwa wale wote watakaojaribu kuingilia
Kimsingi Zito amepaniki na kama anatafuta huruma kwa kesi ambayo tayari iko mahakamani.. Hili linaweza kumsumbua zaidi kwenye hii kesi
Awe makini pengine waliokuwa wanamtumia wameshamchoka

View: https://www.youtube.com/live/tgX7StjZRmU?si=tl-dn7d3M50hC4le
 
Anatumia Nafasi ya kesi ili apate nguvu au atulizwe kwa kupewa ubunge mbinu za kusikika..
 
Kiongozi Mkuu mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani Zitto Kabwe amefunguliwa Kesi na Harbinder Singh Seth akidaiwa kumkashifu mfanyabiashara huyo na kumvunjia heshima mbele ya jamii

Akizungumza na wanahabari leo Zitto Kabwe amesema kuwa kesi hiyo imetokana na yeye kuzungumzia sakata la IPTL (Kampuni ya kufua umeme) ambapo Seth ameomba kulipwa ‘mabilioni’ ya fedha

"Nimewaita hivi leo kwasababu ya kesi ambayo nimefunguliwa na mtu anayeitwa bwana Harbinder Singh Seth kuwa nimemkashifu na kumshushia heshima mbele ya jamii kwa vile eti nimezungumzia sakata la IPTL (Kampuni ya kufua umeme), na ameomba mahakama mbali na mambo mengine nimlipe ‘mabilioni’ ya fedha"

"Tuhuma hizo za bwana Seth kwanza si za kweli, kwasababu sijamkashifu na wala kumshushia heshima, lakini ninampongeza sana na kumshukuru kwa ujasiri wake wa kunishitaki kwasababu kesi hii itatoa fursa ya kumaliza jambo hili linaloweka wingu kwa muda mrefu sana katika taifa letu, lakini pia kesi hii itanipa nafasi ya kuweka ukweli wote wazi na mwisho kuufukia kabisa huu mzoga unaoitwa sakata la IPTL"

"Binafsi sikatai kuandika maneno ambayo bwana Seth (Harbinder Seth- Mmiliki wa kampuni ya IPTL ya ufuaji wa umeme) ananituhumu nayo kwamba nimemkashifu , maneno hayo niliyaandika na kuyachapisha katika akaunti yangu ya X zamani Twitter, na maneno yale yanaakisi picha halisi na yenye ukweli wa jambo zima hili la IPTL"

"Pili maneno haya mimi niliyaongea kwa nia njema kabisa, ya kutaka kupata ufumbuzi wa sakata hili, na tatu, maneno yale niliyasema kwavile mimi nilibahatika kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyoshughulikia sakata la IPTL"

"Kama unakumbuka wakati ule maarufu lilivyojulikana kama sakata la Escrow, hivyo nilitumia fursa hiyo kuwaeleza Watanzania wenzangu ukweli wa jambo hili, kwasababu ninafahamu ukweli wa jambo hilo, na ni wajibu wangu kama raia kulinda rasilimali za taifa dhidi ya njama zozote zile za kupora rasilimali hizo kwa kisingizio cha uwekezaji".

Crap hii... ikafie mbele huko..
 
Kwa zitto ameyatyanka, atatafuta mlango wa kutokea na atakuta umefungwa.
 
Hivi huyu fisadi bado ana ubavu na anadai fidia ya nini? Haya ndio mambo yatathibitisha kwamba awamu ya 6 ni ya mafisadi. Hasara aliyosababishia taifa na wizi mkubwa wa fedha za umma waliyokula yeye rwe yule patna wake Rwe nani sijui wasingepata ujasiri kusimama kufanya madai yoyote kwa serikali kama ile ya Magufuli.
 
Kiongozi Mkuu mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani Zitto Kabwe amefunguliwa Kesi na Harbinder Singh Seth akidaiwa kumkashifu mfanyabiashara huyo na kumvunjia heshima mbele ya jamii

Akizungumza na wanahabari leo Zitto Kabwe amesema kuwa kesi hiyo imetokana na yeye kuzungumzia sakata la IPTL (Kampuni ya kufua umeme) ambapo Seth ameomba kulipwa ‘mabilioni’ ya fedha

"Nimewaita hivi leo kwasababu ya kesi ambayo nimefunguliwa na mtu anayeitwa bwana Harbinder Singh Seth kuwa nimemkashifu na kumshushia heshima mbele ya jamii kwa vile eti nimezungumzia sakata la IPTL (Kampuni ya kufua umeme), na ameomba mahakama mbali na mambo mengine nimlipe ‘mabilioni’ ya fedha"

"Tuhuma hizo za bwana Seth kwanza si za kweli, kwasababu sijamkashifu na wala kumshushia heshima, lakini ninampongeza sana na kumshukuru kwa ujasiri wake wa kunishitaki kwasababu kesi hii itatoa fursa ya kumaliza jambo hili linaloweka wingu kwa muda mrefu sana katika taifa letu, lakini pia kesi hii itanipa nafasi ya kuweka ukweli wote wazi na mwisho kuufukia kabisa huu mzoga unaoitwa sakata la IPTL"

"Binafsi sikatai kuandika maneno ambayo bwana Seth (Harbinder Seth- Mmiliki wa kampuni ya IPTL ya ufuaji wa umeme) ananituhumu nayo kwamba nimemkashifu , maneno hayo niliyaandika na kuyachapisha katika akaunti yangu ya X zamani Twitter, na maneno yale yanaakisi picha halisi na yenye ukweli wa jambo zima hili la IPTL"

"Pili maneno haya mimi niliyaongea kwa nia njema kabisa, ya kutaka kupata ufumbuzi wa sakata hili, na tatu, maneno yale niliyasema kwavile mimi nilibahatika kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyoshughulikia sakata la IPTL"

"Kama unakumbuka wakati ule maarufu lilivyojulikana kama sakata la Escrow, hivyo nilitumia fursa hiyo kuwaeleza Watanzania wenzangu ukweli wa jambo hili, kwasababu ninafahamu ukweli wa jambo hilo, na ni wajibu wangu kama raia kulinda rasilimali za taifa dhidi ya njama zozote zile za kupora rasilimali hizo kwa kisingizio cha uwekezaji".

usitutoe kwenye RELI na escrow yako, sie ni NoReformsNoELection ya TAL ndiyo habari ya mji kwa sasa
 
Ila nchi hii asilimia kubwa labda akili zimecheza... Sakata la Zitto linakuja kipindi ambacho kuna "ripoti" za Ufisadi mkubwa wa Makonda na yule Waziri kununua viwanja kwa mabilioni jijini Arusha.

Hamuoni ni mfumo wa hoja moja kuziba nyingine??

Bado ishu ya derby imelala itaanza tena..

"Ewe mgalatia ni nani aliyekuroga"?
 
Huyo alikosa Mgao

Tofautisha kupigania na kuwalipua watu.

Kumbuka hizo pesa zilimfanya akakosa hadi ubunge na wakati alishinda.

Kilichotokea aliwalipua wenzake baada ya kukosa mgao
Kwa namna mambo yalivyo jifunua hadi sasa; ninakubaliana na maoni haya uliyoweka hapa.

Kafulila wa sasa ndiye Dalali mkuu wa kunadisha mali za waTanzania.
 
Ila nchi hii asilimia kubwa labda akili zimecheza... Sakata la Zitto linakuja kipindi ambacho kuna "ripoti" za Ufisadi mkubwa wa Makonda na yule Waziri kununua viwanja kwa mabilioni jijini Arusha.

Hamuoni ni mfumo wa hoja moja kuziba nyingine??

Bado ishu ya derby imelala itaanza tena..

"Ewe mgalatia ni nani aliyekuroga"?
Nimeshindwa kuelewa "kurogwa kwa mgalatia" kumeingia vipi hapa!
Ila ninakubaliana na maudhui ya hoja yako.
 
Yaani huyu Singasinga amegoma kabisa kuacha kuzivizia pesa za misukule ya Nyerere!
Pesa zinapatikana kilaini hivyo bwerere hata kama ingekuwa ni wewe usingekubali kuziachia kama unaweza kujichotea tu.
 
Ukome kabisa Zito Kabwe ulishangilia sana kufa cha Magufuli hadi ukasema anayempenda Magufuli akazikwe nae, kumbe hukujua kuwa mbaya wako Seth ametulizwa na Magufuli. 😄.
Ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya ~~~ Magufuli
 
We nae tutolee upuuzi hapa hilo li jpm ndo limeharibu nchi
 
Back
Top Bottom