Zitto Kabwe afunguliwa kesi na Harbinder Singh kisa sakata la IPTL

Nimeshindwa kuelewa "kurogwa kwa mgalatia" kumeingia vipi hapa!
Ila ninakubaliana na maudhui ya hoja yako.
Sorry kaka, lengo halikua baya, nilijaribu ku'quote bible, ila nahisi nimepuyanga... very sorry
 
Amfungulie na Kafulila, aliyepigania hizo pesa mpaka akaitwa tumbili.
Ameanza na baba lao, na tumbili atafuata.
PS
Kwa Tumbili, hilo sakata la singh, kwa yeye kushitakiwa inaweza ikawa ngumu-aliliongelea ndani bunge
 
Huyu Zitto ametangaza nia. Naona anafosi kurudi kwa mainstream.

Why now!?
 
IPTL ni msimu uliokataa kupotea hivyo huzuka kila awamu.

Mshana Jr
 
Huyo Singh anataka nini hasa?Au anatafuta gear ya kukodisha magenerator scrap kwa thamani ya Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…