johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Aache waliohuru kutoa mapendekezo huru yasiyona mafungamano na sirikali wafanye jukumu Hilo Kwa maslahi mapana ya wananchi was Tanzania na taiga na SII Kwa akili ya sirikali na washirika wao kama akina Mzito na kamati yake🚶Mbona kama ana tetemeka?
Zitto ni sehemu ya serikali, namshauri awapigie washirika wake wamwambie hayo mapendekezo ya Chadema.
NAYE AOMBE KUONGEA NA RAIS HATUTAHITAJI KUYAFAHAMU WATAKAYOONGEA-KATIBA MPYA NI BAADA YA 2025.Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino
Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.
Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Pia ajue hawana mafungamano na sirikali🤔... Chadema sio idara ya ACT atambue hilo!
Anazungumzia Uwazi... Chadema sio idara ya ACT atambue hilo!
Yeye kayaweka wazi ya chama chake?Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino
Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.
Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Akitoa majibu tutaendelea na hoja yake 🚶Yeye kayaweka wazi ya chama chake?
Kabissa tena waweke wazi sasa, mashaka kwa chadema yameanza tokea mbowe alipotolewa jela baada ya miezi 8 pamoja na kuwa na kesi ya kujibu lakin gafla akafutiwa kesi lakini break ya kwanza akatia maguu Ikulu ya Samia lakini sio hapo tu sasa ni kawaida yake kwenda Ikulu lakini hofu zaidi Tundu Lissu pia ambaye ni msemaji kwa kila kinachotokea hili hajaweza kulitolea fatwaa. giza ni neneKiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino
Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.
Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Chadema ndio waliomba kuonana na Rais Samiakwanini asihoji Chongolo aeleze waluchojadili.
Msikimbie hoja ekeni wazi halafu Mbowe aeleze kwanini alitua Ikulu baada ya kutoka jela... Chadema sio idara ya ACT atambue hilo!
Msikimbe hoja ekeni uwazi hapa na mueleze kwanini Ikulu imekuwa ni nyumbani kwao chadema sasaMbona kama ana tetemeka?
Zitto ni sehemu ya serikali, namshauri awapigie washirika wake wamwambie hayo mapendekezo ya Chadema.
Kwanini wewe huna Mbunge? Kwanini Mbunge wako asiishauri Serikali kupitia Bunge kuhusiana na hiyo hali yako ya maisha?Hivi hawa jamaa wakiendaga uko Ikulu wanakumbuka kweli kuzungumzia hali ya maisha ya watanzania Au wanajali tu biashara yao inayobatizwa jina la siasa
weka uthibitisho, la sivyo msimsingizie zittoKiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino
Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.
Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Hawajaweka wazi?Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino