Zitto Kabwe aitaka CHADEMA iweke hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia kwani kufichaficha kunatia shaka

Anazungumzia Uwazi
Kwani CHADEMA wamepeleka mapendekezo Kwa Samia ili yapelekwe kwenye Kamati ya kina Zitto? CHADEMA kama Chama kikuu na huru cha upinzani kimekutana na Chama tawala CCM na Serikali. Kila upande umetoa Maoni yake na watakutana tena Kwa ajili ya Mambo wanayoona hayako Sawa. Sasa Zitto Mambo ya watu huru yeye mfungwa yanamhusu nini?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino

Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.

Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Mfowadie hii link...........

Mbona kama ana tetemeka?

Zitto ni sehemu ya serikali, namshauri awapigie washirika wake wamwambie hayo mapendekezo ya Chadema.
hoja hujibiwa kwa hoja na si kwa kumblock mtu asiseme yanayomsibu.
 
Kwani hamjamwelewa zitto kuwa analinda kakikosi kazi kasije kakajifia baada ya CCM na CHADEMA kukubaliana ratiba ya kufufua tume mpya ya katiba?

Zitto ni wa kupuuza
 
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino

Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.

Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Una uwezo wa kushauri. Kuitika CDM wakati huna uwezo wa kuadhibu, time wasting.
 
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino

Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.

Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Mapendekezo ni ya CHADEMA kapelekewa Samia... lakini anayewashwa ni Zitto; kina Mwaijaku wana shida sana.
 
Aliyepokea mapendekezo yeye hapaswi kusema....???

Au aliyetoa mapendekezo pekee ndio anatakiwa kusema...

Zitto siku hizi unakula maharage ya wapi...????
 
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino

Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.

Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Amwambie SSH atamke mwenyewe kwani hana mdomo
 
Kwani Mbowe angeweza kutoka gerezani na kwanda Ikulu? Labda utueleze aliombaomba je? Wakati alikuwa mhalifu.
Biashara tunajua ilifanyika akiwa jela ili kunusurika lakini chadema nayo igeuzwe kuwa TLP na sasa mnashinda Ikulu muda wote kwisha habar yenu., wananchi watapambana wenyewe kivyao kudai katiba, watanganyika hawana dhamana
 
Zitto acha kutafuta huruma ya CHADEMA. kwani boss wako Samia wa kazi ya usaliti kwa miaka9, kakunyima taarifa. Samia nae kakushitukia uwaminiki au kazi yake yakukuua kisiasa imetimia.
Zitto Watanzania tuna KULAANI na LAZIMA ulaanike. Msaliti mkubwa.
 
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino

Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.

Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Yeye mangapi akiongea na Mwinyi,au SSH Hawambii wenzake au watanzania, Zitto nakuheshim Sana hachana na yasiokuhusu, na unajua vizuri nini kilizungumzwa ila tu wataka teka hisia za watu,Mungu anakupenda na asema hacha Mara MOJA Tabia hii
 
Msikimbe hoja ekeni uwazi hapa na mueleze kwanini Ikulu imekuwa ni nyumbani kwao chadema sasa
Hujui hata maana ya hoja, ameona kikosi kazi chake hakina maana sasa anataka kujua ya upande wa pili, mwambie nae aombe mualiko aende ikulu kwa dadake.
 
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino

Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.

Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Bwana ZITO aka HEAVY DUTY! Unataka kujua ya chumbani kwa mpenzi wa rafiki yako! Je wataka ku mpiku rafikiyo!!?
Ni mtazamo!
Serious naona!
 
Hivi hawa jamaa wakiendaga uko Ikulu wanakumbuka kweli kuzungumzia hali ya maisha ya watanzania Au wanajali tu biashara yao inayobatizwa jina la siasa
Huko ikulu ni kwa raisi wa wapi? Ye afahamu matatizo ya watanzania
 
Back
Top Bottom