Awaulize kwanza CCM waeleze mapendekezo yao waliyotoa kwenye kikosikazi maalum.Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino
Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.
Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino
Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.
Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Sasa kama Raisi anafahamu wao wanaenda kufanya nini? Nawao niwatanzania so Raisi atakuwa anayafahamu matatizo yao.Huko ikulu ni kwa raisi wa wapi? Ye afahamu matatizo ya watanzania
Hivi hawa jamaa wakiendaga uko Ikulu wanakumbuka kweli kuzungumzia hali ya maisha ya watanzania Au wanajali tu biashara yao inayobatizwa jina la siasa
Chadema wamepeleka mapendekezo ya Mbowe arudishiwe bilicanas yake, Lissu alipwe mafao yake, Wenje na Lema warudi Tanzania.
Chadema ndio waliomba kuonana na Rais Samia
Msikimbie hoja ekeni wazi halafu Mbowe aeleze kwanini alitua Ikulu baada ya kutoka jela
Anaumia sana kwa Serikali kukutana na Chadema na mapendekezo kupelekwa serikalini moja kwa moja... Chadema sio idara ya ACT atambue hilo!
Biashara tunajua ilifanyika akiwa jela ili kunusurika lakini chadema nayo igeuzwe kuwa TLP na sasa mnashinda Ikulu muda wote kwisha habar yenu., wananchi watapambana wenyewe kivyao kudai katiba, watanganyika hawana dhamana
Wao wanaenda kufanya nini Ikulu kama wanachoenda kukizungumza hakihusu wananchi na ni chama cha siasa ambacho kina malengo ya kuongoza nchi.Kila mazungumzo Yana context yake na hadidu rejea. Halafu unataka kura uipe CCM kuanzia Mwenyekiti wa Kijiji mpaka mbunge lakini shida za wananchi uwatupie chadema. Tuache ubinafsi.
Mwenyekiti humjulisha lissu kila hatua kwa uwazi ili kulinda maslahi na siri za chama, chama chochote kina siri za chama na agenda zakeKabissa tena waweke wazi sasa, mashaka kwa chadema yameanza tokea mbowe alipotolewa jela baada ya miezi 8 pamoja na kuwa na kesi ya kujibu lakin gafla akafutiwa kesi lakini break ya kwanza akatia maguu Ikulu ya Samia lakini sio hapo tu sasa ni kawaida yake kwenda Ikulu lakini hofu zaidi Tundu Lissu pia ambaye ni msemaji kwa kila kinachotokea hili hajaweza kulitolea fatwaa. giza ni nene
Nilimuona juzi yupo na wasira live TBC hadi aibu sijui zitto kapatwa na nini??Mbona kama ana tetemeka?
Zitto ni sehemu ya serikali, namshauri awapigie washirika wake wamwambie hayo mapendekezo ya Chadema.
Wewe ni ccm,kweli na wewe unawategemea Chadema!!! Bunge lote almost 99% ni ccm, hawakutoshi kweli???Hivi hawa jamaa wakiendaga uko Ikulu wanakumbuka kweli kuzungumzia hali ya maisha ya watanzania Au wanajali tu biashara yao inayobatizwa jina la siasa
Sababu ipo wazi. Alialikwa na Rais.Msikimbie hoja ekeni wazi halafu Mbowe aeleze kwanini alitua Ikulu baada ya kutoka jela
Muda mwingne zitto Yuko Sawa Kabsa, Safari za chadema ikulu lazma iwe na maswali mengi lazma watoe mrejesho wanaenda kufanya Nini Kwa wanachama wao na wwtanzania Kwa ujumla. Leo unakutana na Samia kësho wanagoma kukutana na Kikosi Kazi kilichoundwa na huyo huyo wanayekutana nae. Kinadharia wanaonesha wao washatoa mapendekezo Yao Kwa RAIS.Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino
Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.
Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Kwamba akitoka tu jela aende ikuluSababu ipo wazi. Alialikwa na Rais.