Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Hata hivyo wengi wao wamelala - kesho waone. Mbn mbowe katolewa gerezani na CCM hawasemi, mbn Msigwa alitolewa hawasemi, mbn Lema alitolewa hawasemi?Dah! Kumbe ni kweli aisee!!! Kitendo cha kuweka hilo bandiko mashambulizi yameanza.
ushaingia kwenye mfumo wa mtoa madaNikusaidie tu kitu hapo, Zitto Kabwe hana impact yeyote kwa mwenye akili timamu. Majuha tu waota ndoto wanaoona kuwa chama chake cha pemba na Zanzibar ndio kikuu cha upinzani, ndio maana hayuko kwenye maridhiano sababu ni pandikizi limetulizwa
ngoja kwanza?Nikusaidie tu kitu hapo, Zitto Kabwe hana impact yeyote kwa mwenye akili timamu. Majuha tu waota ndoto wanaoona kuwa chama chake cha pemba na Zanzibar ndio kikuu cha upinzani, ndio maana hayuko kwenye maridhiano sababu ni pandikizi limetulizwa
Hakuna mashambulizi anaambiwa kweli aache ndotoDah! Kumbe ni kweli aisee!!! Kitendo cha kuweka hilo bandiko mashambulizi yameanza.
Kwa juha ataona hivyoushaingia kwenye mfumo wa mtoa mada
Ondoa ujuha wako kwa mandate ipi aliyonayo na kupendeza majina ya CHADEMA?ngoja kwanza?
unajua Wajumbe wa Kamati ya Maridhiano upande wa Chadema kuna mkono wa Zitto kwny kupendekeza majina?
majimbo wanayotoka wale Wajumbe kina Heche …CCM huenda ikayakodisha kwa miaka mitano kuimarisha maridhiano na ndio sababu hata progress ya vikao Ndugu Lissu anayajua kupitia vijiwe visivyo rasmi
Choka mbaya Wengi mna wenge na hasira za hapa na paleOndoa ujuha wako kwa mandate ipi aliyonayo na kupendeza majina ya CHADEMA?
Habari za vijiwe vya kahawa peleka kwa walevi tupe proven facts, majimbo yanapatikana kwenye kura siyo vijiweni
Kuna muislamu humuungi mkono?Sio kweli mimi huwa namuunga mkono sana Zitto.
Haueleweki.Unuke mavi alafu nzi wasikufuate?
Subiri wakuhukie 😆😆Hata hivyo wengi wao wamelala - kesho waone. Mbn mbowe katolewa gerezani na CCM hawasemi, mbn Msigwa alitolewa hawasemi, mbn Lema alitolewa hawasemi?
CDM jitafakarini
Walitolewa kwa michango ya pesa za.wqnachama wao na wapenda hakiHata hivyo wengi wao wamelala - kesho waone. Mbn mbowe katolewa gerezani na CCM hawasemi, mbn Msigwa alitolewa hawasemi, mbn Lema alitolewa hawasemi?
CDM jitafakarini