Zitto Kabwe akitajwa kokote au akasifiwa, CHADEMA hukosa raha. Kwanini roho za kutu?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Poleni kwa msiba wa Benard Membe na William Malchela.

Najiuliza tu na kuwauliza tu kwamba kwanini Zitto Kabwe akitajwa na kusifiwa kwa jambo lolote hawa ndugu wa CHADEMA hukosa raha?

Ni kwa sababu;
(a) Walitegemea atakufa na kupotea kisiasa baada ya njama yao ya kumtimua CHADEMA?

(b) Wanaona wivu baada ya chama chake kuwa chenye nguvu nchini?

CHADEMA acheni wivu wa kupindukia, Zitto Kabwe ni lulu kwa taifa letu.
 
Nikusaidie tu kitu hapo, Zitto Kabwe hana impact yeyote kwa mwenye akili timamu. Majuha tu waota ndoto wanaoona kuwa chama chake cha pemba na Zanzibar ndio kikuu cha upinzani, ndio maana hayuko kwenye maridhiano sababu ni pandikizi limetulizwa
 
Sio kweli mimi huwa namuunga mkono sana Zitto.
 
Nikusaidie tu kitu hapo, Zitto Kabwe hana impact yeyote kwa mwenye akili timamu. Majuha tu waota ndoto wanaoona kuwa chama chake cha pemba na Zanzibar ndio kikuu cha upinzani, ndio maana hayuko kwenye maridhiano sababu ni pandikizi limetulizwa
ushaingia kwenye mfumo wa mtoa mada
 
Nikusaidie tu kitu hapo, Zitto Kabwe hana impact yeyote kwa mwenye akili timamu. Majuha tu waota ndoto wanaoona kuwa chama chake cha pemba na Zanzibar ndio kikuu cha upinzani, ndio maana hayuko kwenye maridhiano sababu ni pandikizi limetulizwa
ngoja kwanza?

unajua Wajumbe wa Kamati ya Maridhiano upande wa Chadema kuna mkono wa Zitto kwny kupendekeza majina?

majimbo wanayotoka wale Wajumbe kina Heche …CCM huenda ikayakodisha kwa miaka mitano kuimarisha maridhiano na ndio sababu hata progress ya vikao Ndugu Lissu anayajua kupitia vijiwe visivyo rasmi
 
Ondoa ujuha wako kwa mandate ipi aliyonayo na kupendeza majina ya CHADEMA?

Habari za vijiwe vya kahawa peleka kwa walevi tupe proven facts, majimbo yanapatikana kwenye kura siyo vijiweni
 
Choka mbaya Wengi mna wenge na hasira za hapa na pale

tafuta mchongo kwanza uone kama hayo makasiriko madogo madogo yatakuwepo

Wenzako tukijadili Siasa tunajadili kama Tom & Jerry
 
Hata hivyo wengi wao wamelala - kesho waone. Mbn mbowe katolewa gerezani na CCM hawasemi, mbn Msigwa alitolewa hawasemi, mbn Lema alitolewa hawasemi?

CDM jitafakarini
Walitolewa kwa michango ya pesa za.wqnachama wao na wapenda haki
 
Back
Top Bottom