Zitto Kabwe alipotangaza kutogombea Urais, je alikuwa na mawasiliano ya karibu na Lissu?

Zitto Kabwe alipotangaza kutogombea Urais, je alikuwa na mawasiliano ya karibu na Lissu?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ninaamini alikuwa na mawasiliano ya karibu sana na Lissu, kwamba atakuja kugombea kupitia ACT Wazalendo.

Screenshot_20241215-104902.jpg
 
Lisu moja ya Demand yake ni Mbowe ni laini sana kupmbana na Samia, sasa je ACT ina pambana na Samia? ACT inaami u kwenye mazungumzo, ACT haimini kwenye maandamani ndio maana hujawahi wasikia hata wakitishia kuandamana, huko atapotea na ndio itakuwa mwisho wake. Lisu sio Fala kiasi cha kukimbilia ACT.

Sioni Lisu akiondioa CDM,
 
Muda ni mwalimu mkuu
 
Hii ni ramli yako tu mleta mada. Wale wanaosema akishindwa uenyekiti Lisu ataenda ccm, kidogo hawa wananishawishi lkn siyo ACT.
 
Lisu atagombea Urais kupitia hapo hapo Chadema

Chadema ni Mali ya Watanzania siyo saccos ya Mtei & family 🐼
 
Maazimio na maamuzi ya kikao cha Jana mbona hayatolewi hadharani?? Au kuna mparurano huko ndani??
 
Lissu akikataliwa chadema nashauri

Aanzishe chama kipya afungue account ya chama tuchange hata bilion 10 aanze operation nchi nzima

Lissu akianzisha chama act na chadema vitajifia!!
 
Lissu akikataliwa chadema nashauri

Aanzishe chama kipya afungue account ya chama tuchange hata bilion 10 aanze operation nchi nzima

Lissu akianzisha chama act na chadema vitajifia!!
Gari tu hukuchanga
 
Lisu hawezi enda ACT make sera zake hasa za kutumia mapambano kudai haki hazipo kabisa ACT,
Lissu anataka sana kugombea urais, akishindwa uenyekiti hatapewa fursa ya kugombea urais aidha kwa kumlipizia kisasi na pia hata kwa kuuza hiyo fursa ya kumzuia Lissu kugombea urais kwa sababu system haitaki Lissu awe mgombea urais wa CDM hivyo ni fursa nzuri pia ya kupiga hela kwa wajanja wa CHADEMA kwa kuhakikisha tu hagombei urais.

Lissu lazima alijua risk ya kujitosa kugombea uenyekiti lakini atakuwa aliishaandaa PLAN B in case akIshindwa.

Kuunda chama kipya hakitapewa usajili hivyo option aliyonayo ni kuhamia vyama vilivyopo na chama Chenye mtandao ni ACT, ACT itanufaika kwa ongezeko la wabunge na ruzuku kwa mgongo wa kura za. mgombea urais Lissu. Hapa system itaafiki Lissu kugombea tokea ACT kwa sababu licha ya kutoweza kushinda lakini hii itafanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani na ndio lengo la Zitto na system.

Mwisho wa yote haya Lissu ndiye atakuwa loser na mwisho wake kisiasa utakuwa umeanza.
 
Back
Top Bottom