Zitto Kabwe alipotangaza kutogombea Urais, je alikuwa na mawasiliano ya karibu na Lissu?

Zitto Kabwe alipotangaza kutogombea Urais, je alikuwa na mawasiliano ya karibu na Lissu?

Lissu anataka sana kugombea urais, akishindwa uenyekiti hatapewa fursa ya kugombea urais aidha kwa kumlipizia kisasi na pia hata kwa kuuza hiyo fursa ya kumzuia Lissu kugombea urais kwa sababu system haitaki Lissu awe mgombea urais wa CDM hivyo ni fursa nzuri pia ya kupiga hela kwa wajanja wa CHADEMA kwa kuhakikisha tu hagombei urais.

Lissu lazima alijua risk ya kujitosa kugombea uenyekiti lakini atakuwa aliishaandaa PLAN B in case akIshindwa.

Kuunda chama kipya hakitapewa usajili hivyo option aliyonayo ni kuhamia vyama vilivyopo na chama Chenye mtandao ni ACT, ACT itanufaika kwa ongezeko la wabunge na ruzuku kwa mgongo wa kura za. mgombea urais Lissu. Hapa system itaafiki Lissu kugombea tokea ACT kwa sababu licha ya kutoweza kushinda lakini hii itafanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani na ndio lengo la Zitto na system.

Mwisho wa yote haya Lissu ndiye atakuwa loser na mwisho wake kisiasa utakuwa umeanza.
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom