Zitto Kabwe anatafuta umaarufu kupitia jina la hayati Magufuli. Watanzania walishampuuza kwa sababu hana msimamo

Zitto Kabwe anatafuta umaarufu kupitia jina la hayati Magufuli. Watanzania walishampuuza kwa sababu hana msimamo

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Anajua akimchafua Magufuli labda atapata kiki maana sasa wapinzani na wanaCcm kwa ujumla walishamchukia na kumuona ni tapeli la kisiasa lenye kujali matumbo yake.

Amejaribu kuonyesha na kuchambua juu ya namna Kabanga nikel ilivyouzea kwa hasara lakini amepuuzwa na wananchi.

Zile zama zake za kupata kiki kwa kuibua ufisadi hazipo tena. Kwa ujumla siasa za janjajanja za Zitto Kwishney. Sasa anadandia kumchafua JPM sababu analindwa na wanaCcm corrupt.

My take; CHADEMA tumpinge huyu kibaraka wa Ccm kwa nguvu zote.
 
Mbona alisha chafuka, sasa watu wanabadilishana uzoefu, kuwa mie yalinikuta haya, na mwezangu ndio ilikuwa hivyo! Basi ni kupeana pole na kuitwa central kuhojiwa baasi, ila hata wanaohoji wanajuwa yalitokea, ila wanajiweka kwenye mazingira ya kushangaa!
 
Kama wewe unavyotumia jina la chadema kujitafutia umaarufu wakati tayari ulishafukuzwa kitambo kutoka cdm.
 
Unalinda legacy ya jiwe.
Inajulikana wazi Jiwe alikuwa muuaji,mkabila na mwizi.
Hakuna wasiojulikama tena coz yeye ndo alikuwa anawatuma.

Muda si mrefu tutaifufua ile maiti tuihukumu kunyongwa mbele ya kadamnasi.

Kafanya mabaya mengi na kuturudisha nyuma kiuchumi miaka 60.
Angeendelea hadi 2025 tungekuwa kama Sudan/Afghanistan. Ishukuriwe Covid kwa kumfyekelea mbali
 
Zito ameona Mbowe kuwekwa ndani ni bonge la kiki.

Anatafuta njia ya kumfuata Mbowe alipo ili naye apate kiki
 
Back
Top Bottom