Zitto Kabwe anatafuta umaarufu kupitia jina la hayati Magufuli. Watanzania walishampuuza kwa sababu hana msimamo

Zitto Kabwe anatafuta umaarufu kupitia jina la hayati Magufuli. Watanzania walishampuuza kwa sababu hana msimamo

Hata simshangai, alishasema awamu hii hatakuwa wa kupinga pinga sana, sasa hivi ni "wale marafiki" zake wameshika hatamu.
 
Kanawe miguu ulale
Tulia uzamishiwe
IMG_20211227_133711.jpg
 
Sasa kama alifanyiwa unyama si aende Polisi?
Polisi wapi?!!! Haha wanaojipanga kill siku kubambikia mikesi michongo. Hatuna serikali wala polisi. Tuna waganga njaa na walinzi wa maslahi binafsi na chama cha magazine. Nilishaandika na nerudia tuko peke yetu tujilinde dhidi ya majambaxi na hawa wanaojiita polisi.
 
Ndugu acha kuhararisha mawazo yako kwa maneno "wananchi walishampuuza" umefanya utafiti gani? Kitu kimoja ni wazi kwa Zitto Kabwe. Ni mtu mwenye ubongo mzuri sana. Hukosoa na kusifia bila kujali jina la mtu. Hahitaji kiki. Zitto ni maarufu hata bila kuandika chochote. Jifunze kujibu hoja na sio kumshambulia mtu.
 
Back
Top Bottom