Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Sasa kama alifanyiwa unyama si aende Polisi?Zitto anamchafua au anaongea Yale matukio aliyoyaona na kuyasikia .Legancy imeshindwa kujitetea, hata nyie mnae mkingia kifua mtachoka tu.
Polisi ya Jiwe au, Ngoja mama amalize kusuka kikosi chake , watu wataanza kukimbilia polisi kushitaki.Sasa kama alifanyiwa unyama si aende Polisi?
Jinai haina mwisho aende sasa hivi.Polisi ya Jiwe au, Ngoja mama amalize kusuka kikosi chake , watu wataanza kukimbilia polisi kushitaki.
Kamanda wa wapi huyo?Wa Iselamagazi?Muhuni tu huyo.Fuatilia anayoandika ndiyo utamjua.Unawaalika Makamanda kwenye vita yenu ya Wasakatonge na Mpambe wenu? Kazaneni mmalizane nchi ikae Salama.
So what?Maandishi yametoa sauti.Peremende mmung'unyo weye!
Mtachoka nyinyiZitto anamchafua au anaongea Yale matukio aliyoyaona na kuyasikia .Legacy imeshindwa kujitetea, hata nyie mnae mkingia kifua jiwe mtachoka tu.
Wanalazimisha sana legacy hewaZitto anamchafua au anaongea Yale matukio aliyoyaona na kuyasikia .Legacy imeshindwa kujitetea, hata nyie mnae mkingia kifua jiwe mtachoka tu.
Angeendelea hadi 2025 tungekuwa kama Sudan/Afghanistan. Ishukuriwe Covid kwa kumfyekelea mbaliUnalinda legacy ya jiwe.
Inajulikana wazi Jiwe alikuwa muuaji,mkabila na mwizi.
Hakuna wasiojulikama tena coz yeye ndo alikuwa anawatuma.
Muda si mrefu tutaifufua ile maiti tuihukumu kunyongwa mbele ya kadamnasi.
Kafanya mabaya mengi na kuturudisha nyuma kiuchumi miaka 60.
Hayo ni chawa wa ccm hivyo wanajua kuwa bila kuitaja cdm nyuzi zao za kijinga haziwezi kusonga mbeleunajibandika uchadema kumtetea jiwe? CDM hatuna muda wa kuunga mkono upuuzi.
Nakuona chawa wa jiweMtachoka nyinyi