Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana ni yeye ndiye asiye na Ubongo halafu anafikiri ni wenzake hawana ubongo." Yeyote yule anayefikiri kuwa Tanzania itapata katiba mpya bila kwanza kuwa na Tumehuru ya uchaguzi hana ubongo" @zittokabwe
View attachment 2151235
Inawezekana ni yeye ndiye asiye na Ubongo halafu anafikiri ni wenzake hawana ubongo.
Tatizo la Zitto, anafikiri kuwa tume huru itawawezesha kupata Wabunge wengi na hao wabunge ndiyo watakaosukuma kuleta Katiba mpya. That's wrong. Katiba ni ya wananchi. Kitendo cha CCM kukubali Tume huru bila katiba mpya wanajua ni wapi walipo na upper hand...
Ndiyo Zitto mwenyewe?
Lengo la Zitto ni kurudi bungeni at any cost,Inawezekana ni yeye ndiye asiye na Ubongo halafu anafikiri ni wenzake hawana ubongo...
Who is going fast, yule anayekimbilia bungeni leo au yule anayetaka katiba itakayodumu for dacades.Upo ukweli katika hili ! Maana " going fast gets you nowhere unless your going in the right direction "
Behaviourist hebu nipe katuni ya Jiwe anaswaga ng'ombe walimao shamba kwa mbele kusindikizia ujumbe huu.Jamani unaanza kuchamba Kisha unajisaidia haja kubwa au unajisaidia kwanza ndio ukimaliza uchambe?
You cannot put the cart infront of the horse and expect any work to be done.
Kumbuka pia ile rasimu ya katiba ya warioba ilifinyangwa huko bungeni that means kuwepo bungeni kwanza ni muhimu pia !! Maana kama majority ya wabunge wangekuwa wanaikubali ile rasimu isingetupwa kapuni ! I stand to be corrected!Who is going fast, yule anayekimbilia bungeni leo au yule anayetaka katiba itakayodumu for dacades.