Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
" Yeyote yule anayefikiri kuwa Tanzania itapata katiba mpya bila kwanza kuwa na Tumehuru ya uchaguzi hana ubongo" Zitto
Zitto anaongea REALPOLITIK.
Tume huru ya uchaguzi ni “offer” ambayo CCM wameamua kuitoa baada ya kutafakari kwa undani sana mkakati wa kupunguza kasi au kuzima kabisa kadhia ya madai ya katiba mpya. Credit to mtoto wa mkulima. Kura ya turufu iko kwenye madaraka ya Rais. That’s the brightest red line.
Kwa mantiki, anachosema Zitto ni nonsense. Ili kuipata hiyo Tume huru, lazima mabadiliko ya msingi yafanyike kwenye Katiba.
Lakini, kiuhalisia, Tume huru ya “mwendokasi” inaweza kupatikana kama wadau watakuwa tayari kufanya “compromise” na watawala katika mambo ya msingi kwa ahadi kuwa mengine yatamaliziwa baadaye.