Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 3,984 Reaction score 13,760 Nov 17, 2023 #1 View: https://www.youtube.com/watch?v=TCpBb-Wm0b4Leo Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Muhambwe Kibondo. Ameanza ziara yake kwa kutembelea Soko la Kibondo na kufungua Ofisi ya ACT Jimbo la Muhambwe.
View: https://www.youtube.com/watch?v=TCpBb-Wm0b4Leo Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Muhambwe Kibondo. Ameanza ziara yake kwa kutembelea Soko la Kibondo na kufungua Ofisi ya ACT Jimbo la Muhambwe.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Nov 17, 2023 #2 Haya
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 6,716 Reaction score 12,116 Nov 17, 2023 #3 Dalali dalali
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Nov 17, 2023 #4 Mnafiki
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 28,259 Reaction score 41,416 Nov 17, 2023 #5 Sijui kwanini Zitto binafsi na siasa zake havijawahi nivutia hata nijilazimishe vipi!!
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Nov 17, 2023 #6 Roving Journalist said: View: https://www.youtube.com/watch?v=TCpBb-Wm0b4Leo Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Muhambwe Kibondo. Ameanza ziara yake kwa kutembelea Soko la Kibondo na kufungua Ofisi ya ACT Jimbo la Muhambwe. View attachment 2816711 View attachment 2816712 Click to expand... Jamaa ana siasa tulivu sana, ukosoaji mkali wa kiungwana wenye kwa hoja zenye tija
Roving Journalist said: View: https://www.youtube.com/watch?v=TCpBb-Wm0b4Leo Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Muhambwe Kibondo. Ameanza ziara yake kwa kutembelea Soko la Kibondo na kufungua Ofisi ya ACT Jimbo la Muhambwe. View attachment 2816711 View attachment 2816712 Click to expand... Jamaa ana siasa tulivu sana, ukosoaji mkali wa kiungwana wenye kwa hoja zenye tija
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Nov 17, 2023 #7 Tlaatlaah said: Jamaa ana siasa tulivu sana, ukosoaji mkali wa kiungwana wenye kwa hoja zenye tija Click to expand... Hii inaitwa kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
Tlaatlaah said: Jamaa ana siasa tulivu sana, ukosoaji mkali wa kiungwana wenye kwa hoja zenye tija Click to expand... Hii inaitwa kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.