Zitto Kabwe apendekeza TANESCO wauze hisa(20%) fedha itakayopatikana ilipe madeni, Waziri Makamba atoa maagizo

Zitto Kabwe apendekeza TANESCO wauze hisa(20%) fedha itakayopatikana ilipe madeni, Waziri Makamba atoa maagizo

Kwani tatizo la Tanesco ni mtaji? Yaani wachumi wa nchi hii ni changamoto kweli.

Anazijua taratibu na vigezo vya ku list DSE? Hajiulizi tu kuwa kuna sheria tulitunga ya kulazimisha makampuni yote ya simu ku list DSE (bila kujali kama yana uhitaji wa mtaji ama la) lakini mpaka leo hii ni Voda pekee imefanikiwa? Vipi TTCL na wengine?

Kulazimisha kampuni ku list DSE sio wazo zuri. Ingekuwa ni kampuni profitable au potentially profitable na tatizo ni mtaji, pengine kungekuwa na hoja ya kutaka kulist. But unaenda ku list ili ilipe madeni? Wanasiasa hamuwaonei hata huruma wananchi wa nchi hii? Zipo wapi share za Voda.....ni hasara tupu maana price imeporomoka chini ya ile ya wakati wa IPO....."wajanja" wamepiga mpunga na kusepa zao...!

Inachosha sana.
 
Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amemshauri waziri wa nishati January Makamba apeleke DSE 20% ya hisa za Tanesco zikauzwe na fedha itakayopatikana itumike kulipa madeni ya Shirika.

Kipele kimepata mkunaji, anasisitiza Zitto Kabwe katika page yake ya twitter.

Waziri January Makamba amekubali kupokea ushauri huo.

Kwenu wadau, 20% ya Tanesco ni bei gani?
Wazo sio baya if Tanesco was independent or autonomous

But with some serious government interruptions and interference - hizo hisa zitaishia kuwa tozo tu Kwa walionunua
 
Watu wenye uelewa wa haya mambo njooni mtuelimishe haya mambo, shirika la umma kuuza hisa imekaaje.
 
Halufu ya ufisadi....Ukibinafsisha TANESCO ndio unakuwa pia umebinafsisha Bwawa la Mwalimu Nyerere (Striglers) na kadhalika

R.I.P jembe Magu....tusha anza kukumbuka
Mkuu kwani si wazo linasema 20% ya Hisa kwahiyo bado kuna 80% ambazo ndio majority shareholders na wenye sauti over managerial decisions... sasa huo ubinafsishaji umeanzia wapi?
 
Mkuu kwani si wazo linasema 20% ya Hisa kwahiyo bado kuna 80% ambazo ndio majority shareholders na wenye sauti over managerial decisions... sasa huo ubinafsishaji umeanzia wapi?
Eeeh km 80% ni vilaza na wachumia tumbo wanaweza wakamezwa na 20% wenye kisu
 
Yaani wanasiasa ni majinga mno

Yaani uuze hisa za Tanesco kampuni haijawahi kutoa faida tangu ianzishwe mwaka 1974?

Yaani mimi muwekezaji niende nikawekeze kwenye upumbavu wenye hasara kila siku?

Lini nitapata gawio?Hakuna hiyo siku mpaka mwisho wa dunia

Zitto na mwenzake Makamba ni mapumbavu,hayajawahi fanya biashara yanaongea mavi matupu

Nani anunue loss generating machine kwa miaka more than 50years?

Nobody
Wewe hauoni labda hawa 20% watatufunulia kujua kwanini kila mwaka ni Loss? kwasababu 20% watahitaji more transparency and accountability!
 
ee
Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amemshauri waziri wa nishati January Makamba apeleke DSE 20% ya hisa za Tanesco zikauzwe na fedha itakayopatikana itumike kulipa madeni ya Shirika.

Kipele kimepata mkunaji, anasisitiza Zitto Kabwe katika page yake ya twitter.

Waziri January Makamba amekubali kupokea ushauri huo.

Kwenu wadau, 20% ya Tanesco ni bei gani?
Ukishafanya hivyo unalazimika kubadili mfumo wa utawala na bodi ili wenye hisa wapya wawe na sauti kwenye uendeshaji?

Sent from my A71 using JamiiForums mobile app
 
Ni reality mkuu

Mambo ya executive positions hayo.. jinsi ya ku influence board members to be on your side sio kazi nyepesi
Naelewa hiyo angle unayoisema, hapa ndipo umuhimu wa kuwa na Bunge lenye meno na CAG kutokupepesa macho.
 
Wewe hauoni labda hawa 20% watatufunulia kujua kwanini kila mwaka ni Loss? kwasababu 20% watahitaji more transparency and accountability!
Si mpaka wawe accountable...wakihujumu nchi kwa maslahi yao nani wakulaumiwa..ni sawa sawa na kuwinda fisi ndani ya bucha
 
Back
Top Bottom