Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Wataalamu Wa Procurement, Naomba Kueleweshwa Jambo Moja, Mtangaza Tender Ni SIMBA SPORTS CLUB Lakini Juzi Naangalia Mfano wa Hundi ya Bank alieandikwa Ni SIMBA SPORTS CLUB COMPANY LIMITED, swali langu la Msingi Ni Kuwa Ni kwa Nini Mtangaza Tender awe mwingine na Mlipwa Hela ya Tender awe mwingine??[emoji116]View attachment 1760371
This is an invitation to tender! Ni stage ya mwanzo kabisa! zitto Kabwe ameuliza mchakato mpaka mshindi akapatikana ulikuaje?[emoji116]View attachment 1760371
Ukisoma tangazo unaona mkataba uliotakiwa.ni 2021/2022 lakini tumeelezwa mkataba ni wa miaka miwili.[emoji116]View attachment 1760371
Perfect comment. Halafu Zzk alitaka Kujua Kwamba mchakato tangu bidders walivyotoa offer zao, evaluation process na mpaka award.Ukisoma tangazo unaona mkataba uliotakiwa.ni 2021/2022 lakini tumeelezwa mkataba ni wa miaka miwili.
Ukisoma masharti utaona kipengele kinasema mwomba should sound financial good minimum 1,000,000,000 hivyo utaona kama Simba walijilimit tunaweza kusema mwombaji katoa pesa ndogo kumbe walimpa bei elekezi.
[emoji3]Yeye Zitto anataka kujua kama nani. Ana shea ngapi kwenye kampuni ya Simba. Uongozi upo, amewahi kuomba ufafanuzi au ni kutaka kuleta chokochoko tu
yeye kama nani,itamsaidia nini? ana shea ngapi,uongozi upo ameomba ufafanuzi?Perfect comment. Halafu Zzk alitaka Kujua Kwamba mchakato tangu bidders walivyotoa offer zao, evaluation process na mpaka award.