Zitto Kabwe atoa hoja nzito juu ya uwekezaji wa DP World Tanzania

Wewe huna akili kabisa
Nimegundua wengi wanaocoment humu hawajaulewa huo mktaaba wala hawajasikia uchambuzi wa kisheria

Wanabeba kifungu kimoja kisha wanatimka mbio kuwahi kuposti, pasi na kutazama vifungu vingine vinavyosomwa kwa pamoja.

Too sad
 
Hoja ipi? Kuna hoja hapo? Ule ujinga wako wa Twityer ndio unataka ulete na humu? Huku hakuna wajinga kama kule Twitter
Halafu huyu mburula ni mwanaume lakin anajiita jina la kike.Anatoka ukoo wa kina kitwala pale Musoma.Ni mpuuzi mkubwa huyu anajiita Getruda .
 
ZZK ni mmoja wa Wazalendo wa kweli wa taifa hili!, siku zote natanguliza mbele maslahi ya taifa.
P
 
Wewe tutusa Zitto akiwa Chairman wa PAC na Deo Makamu wake wamekula sana Posho za Bandari

Wewe ulikuwa migombani enzi hizo!
Kula posho ndio kufilisi bandari ?...na watumishi wa hapo wanaokula hizo posho na wao wanafilisi bandari ?.....Kuna kamati za bunge zisizokula posho ?

Acha majungu na kusambaza uongo wa kuchafua watu .
 
Xxx
 
ZZK ni mmoja wa Wazalendo wa kweli wa taifa hili!, siku zote natanguliza mbele maslahi ya taifa.
P
Hata wazalendo hukosea. Kwenye hili amekosea.

Tofauti na alichosema, Mbowe alikuwa anazungumzia Mkataba ( Intergovernmental Agreement) na sio MoU. MoU ilisainiwa Februari mwaka jana kati ya TPA na DPW na imetajwa katika hiyo IGA. IGA ndio imeweka mipaka ya mikataba yote itakayofuata kati ya taasisi wakilishi wa nchi zilizoingia katika Mkataba huo. Wawakilishi hao ni TPA kwa upande wa Tanzania na DPW kwa upande wa Dubai. Mikataba hiyo inaitwa HGA ( Host Government Agreements) na haiwezi kwenda kinyume na IGA. HGA haiwezi hata siku moja kusahihisha mapungufu yaliyokuwemo katika IGA ndio maana ni muhimu kuwa maslahi ya pande zote mbili yanalindwa katika IGA.

Watu wanachohoji ni:
1. Vigezo gani vilitumika kufikia uamuzi wa kumpa kazi hii DPW?

2. Utafiti gani ulifanyika mpaka kufikia uamuzi kuwa hamna shirika au taasisi nyingine zenye uwezo kama wa DPW?

3. Je due diligence ilifanyika kuhusu DPW? Due diligence haifanyiki kwa kupeleka wakina Musukuma Dubai tu. Due diligence ingeangalia ufanisi wa miradi ya DPW dunia nzima, kesi ambazo zinazo na zilizofunguliwa dhidi ya DPW n.k.

4. Je sisi wenyewe tulifanya utafiti wa kujua thamani ya assets zetu na potential zake?

5. Je ziliangaliwa njia nyingine mbadala wa huu wa kukodisha asset zetu kwa miaka kibao na mapungufu gani yalionekana katika hizo njia mbadala?

6. Kwa nini unapitishwa kwa haraka hivi bila ya kuwapa wabunge muda wa kutosha wa kuujadili?

7. Kwa nini wananchi walipewa siku moja tu kuja Dodoma kuujadili huo mkataba? Kwa nini watu wasikaribishwe katika miji yote mikubwa ya Tanzania ( DSM, Arusha, Mwanza, Mbeya, Zanzibar) na ile yenye bandari kama Mtwara na Tanga? Kuwakaribisha DSM ilikuwa muhimu kwa sababu ndio kitovu cha wasomi na biashara katika nchi yetu.

8. Kwa nini vyama vya upinzani havikupewa nafasi kuchangia hasa ukizingatia kuwa bunge lote ni CCM?

Kama mimi ambae sio msomi nimeona yote haya nashangaa msomi kama Zitto kuyapotezea! Lazima kuna jambo.

Amandla...
 
Tayari!! Hakuna kitu mbaya dunian kama faranga!!!
 
Hivyo vyote ulivyohoji vimefanyika.
 
Wewe tutusa Zitto akiwa Chairman wa PAC na Deo Makamu wake wamekula sana Posho za Bandari

Wewe ulikuwa migombani enzi hizo!
Base kwenye point ya msingi, hizo shutuma ambazo hazina ushahidi hazikusaidii.. Base kwenye Hoja, kama una ushahidi nenda Makahamani. Base kwenye alichozungumza.
 
Zitto anaeleweka yuko upande gani,kwa vile kuna wapumbavu kama yule mzee wa ADC wameshalielekeza suala hili kwenye udini lazima na yeye alalie huko ili kuzidi kuwachanganya watu. Huyu ni snitch ndiyo maana alifukuzwa Chadema.
 
Zitto huyu huyu anayetaka tusiwaguse Wazanzibar kwenye jambo ili tusionekane Wabaguzi ? Wadanganye Wajinga sana .
Zitto anajua chama chake kimeshikiliwa na wapemba na wakichomoa betri hata hao wanaombeba watashindwa kwani kwa huku Tanganyika hana nguvu yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…