Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kongole kwake kamarada ZZK[emoji7]Nimesikiliza kwa makini sana alichozungumza Zitto Kabwe juu ya hili suala la DP World.
Kwanza ningependa kumpongeza Zitto Kabwe kwa kazi nzuri sana anayoendelea kufanya, kwenye hili ametenda haki na ameonesha ukomavu wa hali juu kama kiongozi wa Chama cha Upinzani (ACT Wazalendo).
Ameweza kuondoa ukakasi kwa maneno machache sana na rahisi mno ambayo kila mtu anaweza kuelewa.
ZK anasema, kwenye jambo hili ni vyema tukatofautisha kati ya hisia na facts, ingawa hawapingi wazungumzao kwa kutumia tu hisia, kwani hisia nazo ni muhimu bali tunapaswa tuwe makini zaidi ili tuepuke upotoshaji ambao kama umejitokeza siku kadhaa nyuma.
Kwenye suala hili, ZK anasema kwamba kulikuwa na sababu za makusudi za upotoshaji, ambazo lengo lake ni kuleta hataruki (confusion) kwa jamii kwa maslahi ya kisiasa.
ZK anasema kwamba kupitia chama chake cha ACT Wazalendo, wametoa tamko linalowaeleza wananchi ni kitu gani kinakwenda kujadiliwa Bungeni. Nipongeze hatua hii kwani kwani vyama vingine mfano CHADEMA, kwenye hili kimekuwa mstari wa mbele kupotosha umma kuliko kuelimisha umma, Hongera ZK kwa hili.
ZK anaendelea, Kinachokwenda kujadiliwa Bungeni ni MoU ambayo imetoka hadharani, MoU ile, ni makubaliano kati ya serikali mbili (Dubai na Tanzania) ambapo makubaliano hayo sasa, yanatoa ruhusa ya serikali yetu kwenda kujadiliana hayo mambo yanayohusu uwekezaji wa DP World, na huko kwenye hayo majadiliano, ndipo tunapaswa tuwe makini kwa sababu ndio tutakapokuwa na masharti yote ya mkataba wa utekelezaji.
ZK kwa umakini wa hali ya juu anasema kwamba, hiki ambacho kinakwenda kujadiliwa Bungeni, "is simply the framework agreement" ambayo ina muda mahususi. ZK anasema, amesoma Kamati ya Bunge inayohusika moja kwa moja na jambo hili, na ripoti ya azimio la ambalo linakwenda kujadiliwa Bungeni inasema kwamba, "Serikali ya Tanzania itahakikisha kuwa, mamlaka ya bandari haitapokea maombi mengine kwenye maeneo ya ushirikiano yaliyoanishwa katika kiambatanisho namba 1 awamu ya kwanza mkapa hapo mazungumzo katika ya TPA na DP World yatakakuwa yamesitishwa au baada ya kupita kipindi cha miezi 12 baada ya kusainiwa kwa MoU".
Sasa basi, ili tuweze kupata mkataba wa utekezaji, ni hadi Bunge lijadili MoU na kutoa ridhaa kwa TPA kuanza majadiliano na DP World ili kuandaa mkataba wa utekelezaji (HGA), sasa kama itatokea TPA na DP World wameshindwana kwenye majadiliano ndani ya kipindi tajwa, serikali inaweza kutafuta kampuni nyingine ya kuwekeza kwenye bandari zetu.
ZK anaendelea kusema kwamba, mjadala wa Bunge juu ya MoU hii ndio muhimu zaidi, yaani ndio msingi mkuu wa HGA, kupitia hapa ndio tunaweza kujua kwamba tunaliwa au tunakula, kwahiyo ni muhimu sana Wananchi kwamba kinachokwenda kuamuliwa na Bunge, sio kuwapa DP World uendeshaji wa bandari zetu, bali kinachokwenda kuazimiwa, ni kuipa ruhusa serikali kuanza majadiliano na DP World, na kama majadiliano hayo yakishindikana, azimio lote halipo tena. Nguvu zetu,tuwekeze kwenye majadiliano ambayo yanakwenda kutupa mkataba wa utekelezaji.
Kwa ufafanuzi huu wa @zittokabwe ,kama mtu hatoelewa basi, na unaua kabisa hoja muflisi za mkataba usiokua na kikomo na mkataba wa miaka 100.
Tena uyo ndio mtetezi mkubwa waoNimesikiliza kwa makini sana alichozungumza Zitto Kabwe juu ya hili suala la DP World.

Wewe unastahili kuwepo kwenye ile orodha aliyosema anayo mkuu 'Erythrocyte'.Jikite kwenye hoja za msingi tafadhali.
Mwanangu una hoja sema hujui kuiwasilisha, kuifafanua, kuitetea na kushawishi.Nimesikiliza kwa makini sana alichozungumza Zitto Kabwe juu ya hili suala la DP World.

hebu onesha ujinga uko wapi kati haya aliyoandika huyu jamaa?Ndo amekutuma ulete ujinga humu?
Hivi mkataba ulishasainiwa? Ulihusisha watu gani?Punguza ujinga, MoU haijadiliwi bungeni maana MoU haina nguvu kisheria. Yenye nguvu kisheria ni mkataba. Na mkataba walisha sign kitambo , bunge linaenda kubariki ujinga huo.
Yaani kisomo cha Zitto kinamtofautisha saana na wale wengine wanaotumia siasa za maji taka kupotosha kama Mzee Mbowe na wachagga wenzakeNimesikiliza kwa makini sana alichozungumza Zitto Kabwe juu ya hili suala la DP World.
Kwanza ningependa kumpongeza Zitto Kabwe kwa kazi nzuri sana anayoendelea kufanya, kwenye hili ametenda haki na ameonesha ukomavu wa hali juu kama kiongozi wa Chama cha Upinzani (ACT Wazalendo).
Ameweza kuondoa ukakasi kwa maneno machache sana na rahisi mno ambayo kila mtu anaweza kuelewa.
ZK anasema, kwenye jambo hili ni vyema tukatofautisha kati ya hisia na facts, ingawa hawapingi wazungumzao kwa kutumia tu hisia, kwani hisia nazo ni muhimu bali tunapaswa tuwe makini zaidi ili tuepuke upotoshaji ambao kama umejitokeza siku kadhaa nyuma.
Kwenye suala hili, ZK anasema kwamba kulikuwa na sababu za makusudi za upotoshaji, ambazo lengo lake ni kuleta hataruki (confusion) kwa jamii kwa maslahi ya kisiasa.
ZK anasema kwamba kupitia chama chake cha ACT Wazalendo, wametoa tamko linalowaeleza wananchi ni kitu gani kinakwenda kujadiliwa Bungeni. Nipongeze hatua hii kwani kwani vyama vingine mfano CHADEMA, kwenye hili kimekuwa mstari wa mbele kupotosha umma kuliko kuelimisha umma, Hongera ZK kwa hili.
ZK anaendelea, Kinachokwenda kujadiliwa Bungeni ni MoU ambayo imetoka hadharani, MoU ile, ni makubaliano kati ya serikali mbili (Dubai na Tanzania) ambapo makubaliano hayo sasa, yanatoa ruhusa ya serikali yetu kwenda kujadiliana hayo mambo yanayohusu uwekezaji wa DP World, na huko kwenye hayo majadiliano, ndipo tunapaswa tuwe makini kwa sababu ndio tutakapokuwa na masharti yote ya mkataba wa utekelezaji.
ZK kwa umakini wa hali ya juu anasema kwamba, hiki ambacho kinakwenda kujadiliwa Bungeni, "is simply the framework agreement" ambayo ina muda mahususi. ZK anasema, amesoma Kamati ya Bunge inayohusika moja kwa moja na jambo hili, na ripoti ya azimio la ambalo linakwenda kujadiliwa Bungeni inasema kwamba, "Serikali ya Tanzania itahakikisha kuwa, mamlaka ya bandari haitapokea maombi mengine kwenye maeneo ya ushirikiano yaliyoanishwa katika kiambatanisho namba 1 awamu ya kwanza mkapa hapo mazungumzo katika ya TPA na DP World yatakakuwa yamesitishwa au baada ya kupita kipindi cha miezi 12 baada ya kusainiwa kwa MoU".
Sasa basi, ili tuweze kupata mkataba wa utekezaji, ni hadi Bunge lijadili MoU na kutoa ridhaa kwa TPA kuanza majadiliano na DP World ili kuandaa mkataba wa utekelezaji (HGA), sasa kama itatokea TPA na DP World wameshindwana kwenye majadiliano ndani ya kipindi tajwa, serikali inaweza kutafuta kampuni nyingine ya kuwekeza kwenye bandari zetu.
ZK anaendelea kusema kwamba, mjadala wa Bunge juu ya MoU hii ndio muhimu zaidi, yaani ndio msingi mkuu wa HGA, kupitia hapa ndio tunaweza kujua kwamba tunaliwa au tunakula, kwahiyo ni muhimu sana Wananchi kwamba kinachokwenda kuamuliwa na Bunge, sio kuwapa DP World uendeshaji wa bandari zetu, bali kinachokwenda kuazimiwa, ni kuipa ruhusa serikali kuanza majadiliano na DP World, na kama majadiliano hayo yakishindikana, azimio lote halipo tena. Nguvu zetu,tuwekeze kwenye majadiliano ambayo yanakwenda kutupa mkataba wa utekelezaji.
Kwa ufafanuzi huu wa @zittokabwe ,kama mtu hatoelewa basi, na unaua kabisa hoja muflisi za mkataba usiokua na kikomo na mkataba wa miaka 100.
Umendika kwa hoja kali Kati ukachafua Hali ya hewa!!Nimesikiliza kwa makini sana alichozungumza Zitto Kabwe juu ya hili suala la DP World.