Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Zitto kabwe ateuliwa kuwa mjumbe, kamati ya fedha Simba S.C
Chanzo mimi mwenyewe!
Chanzo mimi mwenyewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama nilikuwepo niseme vyombo vyabari?aah! sema msaada wa vyombo vya habari,mkuu
Mangi vipi tena mbona unachuki sana na zitto sijajua hapo unafiki wake umeanzia wapi.Wewe ni Mnafiki kama Huyu jamaa lakini the day is cum.
Mimi,Zito au wanajf?Wewe ni Mnafiki kama Huyu jamaa lakini the day is cum.
Amepwa nafasi ya utunza fedha club ya Simba. nimjuavyo ZItto hana record nzuri ktk maswala ya utunzaji wa Fedha ndio maana hata chadema hakupewa nafasi hiyo hata usahuri tu wa mambo ya fedha. kukabidhiwa jukumu hili club ya simba ni kuifilisi simba inayotapatapa kifedha?
Zitto kabwe ateuliwa kuwa mjumbe, kamati ya fedha Simba S.C
Chanzo mimi mwenyewe!
Hata kama nilikuwepo niseme vyombo vyabari?
Nafahamu Zitto ni mshabiki mkubwa wa simba ya DSM.