Zitto Kabwe aula Simba SC!

Zitto Kabwe aula Simba SC!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,005
Reaction score
20,425
Zitto kabwe ateuliwa kuwa mjumbe, kamati ya fedha Simba S.C

Chanzo mimi mwenyewe!
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa

hiki ni kituko sijawahi kutegemea
 
Amepwa nafasi ya utunza fedha club ya Simba. nimjuavyo ZItto hana record nzuri ktk maswala ya utunzaji wa Fedha ndio maana hata chadema hakupewa nafasi hiyo hata usahuri tu wa mambo ya fedha. kukabidhiwa jukumu hili club ya simba ni kuifilisi simba inayotapatapa kifedha?

Kwani kuna CV ya watunza fedha tupe hapa Jamvini tukaishauri big club TZ ila najua hawajaharibu kabisa huwezi jua wanaweza anzia hapo kukwea juu.
 
Kwa jinsi navyoyajua mabo ya mpira,heshima yake itashuka sasa hivi!!
 
Sasa ile dhana ya CDM ni Simba na CCM ni Yanga inazidi kukua
 
Zitto kabwe ateuliwa kuwa mjumbe, kamati ya fedha Simba S.C

Chanzo mimi mwenyewe!

hajaula, bali kaongezewa majuku ambayo yatakuwa mazito. kazi ya jimbo, chama, kamati ya mashirika ya umma vinamtosha na tayari vimekuwa vingi. tunahitaji viongozi wawajibikaji, ukiwa na majuku mengi, kutatokea conflict of interest. Namshauri Zitto, aachie ngazi hiyo, abaki kuwa mwanasiasa
 
Back
Top Bottom