Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mnyasa wa Mbambabay!Ahaaa, kwani Mbowe sio Wakenya?
Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongiozi wa Act wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya kirundi.
View attachment 1742127
I thought he was part of Kigogo2014 family! Usijekuta wanarusha video na kijijibu wenyewe.Huyo huwa anapenda udini na ukabila.Yupo vizuri huko
Binadamu wa Kwanza hakutokea Tanzania.Aisee ukiona hivi unaweza ukadhani matatizo nchini yamekwisha....
Ila kumbe tuna matatizo lukuki ila bado tunatafuta mengine kwenye utofauti wetu....,
By the way hapa tukianza kutafuta ni nani alikuwa hapa tangu enzi na enzi hapatabaki mtu (kila mtu ni wa kuja)..., alafu tukienda mbele zaidi kila binadamu atakuwa ni Mtanzania (sababu historia inaonyesha mabaki ya kwanza ya Binadamu yametokea Tanzania..., hivyo basi kila Binadamu hapa ni nyumbani...