Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

Acha upumba-vu basi we Ki- ma. Kigoma kuna kabila linaitwa Waha, watusi na wahutu ni makabila yanapatina Burundi
Sijui nini kimetokea
Ila wamasai hawaukani umasai wao
Na wajaluo hawakani ujaluo wao.
Je Mpango anakiri yeye mhutu/mrundi aliezaliwa Tanzania??
 
Watu wa mikoa ya pembezoni huwa wananyanyapaliwa sana kwa kubambikiwa uraia wa nchi jirani.
Zitto yuko sahihi kukasirika
Nikweli mkuu tuonaotoka mipakani ni shida.....unakuta surname yako iko pande zote 2 hapo wanasiasa ndiyo wanatumia adivanteji
 
Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongiozi wa Act wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya kirundi.

View attachment 1742127
Mimi kila siku nayarudi Mangoma ya akina Maiko Jaksoni lakini nashangaa hamnisingizii Umarekani. Kwani nimewakoseeni wapi nyie watu?
 
Ila hizi propaganda kwamba Dr. Mpango ni Mrundi kwa kuwa tu ameonekana akicheza wimbo wa kiha ni utoto na kukosa hoja.

Kigogo sometimes anakuwa na mambo ya kipuuzi sana. These days yupo off target kwa kila jambo na frustrations zake zinamfunua na kuonyesha ni mtu wa aina gani
Kigogo content yake ilikuwa Magufuli, sasa hivi ana struggle kubaki relevant.

Baada ya kifo cha Meko hana jipya na atabaki mdaku tu asiye na maana.
 
Ila hizi propaganda kwamba Dr. Mpango ni Mrundi kwa kuwa tu ameonekana akicheza wimbo wa kiha ni utoto na kukosa hoja.

Kigogo sometimes anakuwa na mambo ya kipuuzi sana. These days yupo off target kwa kila jambo na frustrations zake zinamfunua na kuonyesha ni mtu wa aina gani
Nyie akina vero c mnasema kigogo ni makamba, nape, na rizmoko.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Mwambieni kigogo aache uzushi na upotoshaji.
 
Binadamu wa Kwanza hakutokea Tanzania.
Ni historia nyepesi tu ya kuwafanya muwe wazalendo.
Bondamu wa Kwanza ni Adam na Hawa.Wote hawa walitokea bara la Asia.

Hiyo ni kwa mujibu wa kitabu unachokiamini. Nchi nyingi ukienda utasikia binadamu wa kwanza alianzia kwao. Yaani ni utapeli mtupu.
 
Mwambieni kigogo aache uzushi na upotoshaji.

Hata hivyo kigogo anaaminika kuliko serikali, maana hata serikali inasema uongo wa wazi. Hivyo kuiamini serikali au kigogo ni maamuzi tu.
 
Kigogo angekuwa known ingependeza zaidi ili awe liable anapothibitika kumchafua mtu, lakini kujificha kwa fake ID halafu unaropoka ropoka sio fair, Dr. Mpango himself alishasema yeye ni Muha, Kigogo kwa kujaribu ku prove wrong kaweka video Dr. Mpango akicheza ngoma ya "kirundi" na anaowaita ni "warundi", hili peke yake kwangu halitoshi kuthibitisha bila shaka kwamba Dr. Mpango ni Mrundi, kwani kwa kawaida maeneo ya mipakani mara nyingi tamaduni zao hufanana kati ya nchi moja na nyingine, mbaya zaidi Kigogo nae anatumia taarifa za mtu mwingine kutoa hizo shutuma ambapo mtu huyo nae anatumia fake ID.
 
Zitto amekuwa msemaji wa Mpango!
Alivyo opportunist anamendea uteuzi tu hapo.
 
Kigogo angekuwa known ingependeza zaidi ili awe liable anapothibitika kumchafua mtu, lakini kujificha kwa fake ID halafu unaropoka ropoka sio fair, Dr. Mpango himself alishasema yeye ni Muha, Kigogo kwa kujaribu ku prove wrong kaweka video Dr. Mpango akicheza ngoma ya "kirundi" na anaowaita ni "warundi", hili peke yake kwangu halitoshi kuthibitisha bila shaka kwamba Dr. Mpango ni Mrundi, kwani kwa kawaida maeneo ya mipakani mara nyingi tamaduni zao hufanana kati ya nchi moja na nyingine, mbaya zaidi Kigogo nae anatumia taarifa za mtu mwingine kutoa hizo shutuma ambapo mtu huyo nae anatumia fake ID.
Naam!

Anazushia watu hadi vifo ilhali bado wako hai.
 
Namuelewa Zitto. Hii tabia ya tuhuma kwa watu wa pembezoni si ya kuchekea. Zitto lazima ampiganie home boy ...
 
Namuelewa Zitto. Hii tabia ya tuhuma kwa watu wa pembezoni si ya kuchekea. Zitto lazima ampiganie home boy ...
Mimi sijaona u home boy hapo!

Kwenye hilo hata mimi nitampigania Dkt. Mpango.

Kwa hiyo sasa tumefikia kuhoji Utanzania wa Watanzania watokao mikoa inayopakana ni nchi zingine?

Unadulterated foolishness.
 
Hehehehe!! Nimecheka Sana, nimeikuta u-tube. Kweli kabisa wimbo na ngoma ni tamaduni za kirundi. Nimefanya kazi Kambini miaka ya 90 nafahamu tamaduni zao.
Ngoma za kiha kunatofauti kidogo Ila zinaelekeana.
Warundi wameendelea kutukuza Ngoma yao na kuboresha zaidi hivi nyimbo zao na Ngoma zinavutia Sana hasa Kama unafaham lugha za Kiha,kihangaza,kirundi,kinyarwanda,kishubi- na kwa mbaali kisubi(maeneo hayo ni Kigoma na Ngara na pia karagwe na Tabora maeneo ya Mwese.

Kwakua nyimbo zao zinavutia Basi watanzania wa maeneo hayowanaziadopt na kuzicheza

sasa, swala la kua VP ni mrundi au la, hao watu wa maeneo hayo huwezi watofautisha kwa sura,kuzungumza na tamaduni.

Kwa vyeti na makaburi ya Babu zao, makaburi yasizidi matatu kwa umri wa mpango.

Naomba kuishia hapo.
 
Zito nae anatafuta kiki tu. Toka lini Burundi wakavaa sare za CCM? Ukiangalia ile ngoma wamama wanaocheza na Dr.Mpanga wanaonekana dhahiri ni CCM na nguo zao za kijani. Sema Zito ni mzuri sana kwenye kutumia fursa.
 
Back
Top Bottom