Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Binadamu wa Kwanza hakutokea Tanzania.Aisee ukiona hivi unaweza ukadhani matatizo nchini yamekwisha....
Ila kumbe tuna matatizo lukuki ila bado tunatafuta mengine kwenye utofauti wetu....,
By the way hapa tukianza kutafuta ni nani alikuwa hapa tangu enzi na enzi hapatabaki mtu (kila mtu ni wa kuja)..., alafu tukienda mbele zaidi kila binadamu atakuwa ni Mtanzania (sababu historia inaonyesha mabaki ya kwanza ya Binadamu yametokea Tanzania..., hivyo basi kila Binadamu hapa ni nyumbani...
Ni historia nyepesi tu ya kuwafanya muwe wazalendo.
Binadamu wa Kwanza ni Adam na Hawa.Wote hawa walitokea bara la Asia.