MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Kweli kabisaIla hizi propaganda kwamba Dr. Mpango ni Mrundi kwa kuwa tu ameonekana akicheza wimbo wa kiha ni utoto na kukosa hoja.
Kigogo sometimes anakuwa na mambo ya kipuuzi sana. These days yupo off target kwa kila jambo na frustrations zake zinamfunua na kuonyesha ni mtu wa aina gani
Mwambie zitto asifoke kiasi hicho.Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa ACT-Wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya Kirundi.
View attachment 1742127
Hata kama una mimba ya Mbowe sasa umezidiNamuunga mkono Zitto Kabwe.
Haya mambo yakienda hivi hata Mbowe mtasema siyo mtanzania ni mmalawi!
Wewe ulishajifungua?!Hata kama una mimba ya Mbowe sasa umezidi
Akiwa VP hili ni muhimu sana ! umeelewa
Kwanza una fahamu sheria ipi ina regulate mambo ya uhamiaji hapa Tanzania???? Umeshaipitia ukaifaham vizuri au kupitia tu key provision zake. Mambo mengi nchini yanaendeshwa kisiasa tu. Yaani kama VP akijibu hii hoja, atakua amenikosea san maana anawapa nguvu watu mitandaoni. Mwisho wa siku hii nchi itakua inaendeshwa na watu mitandaoni. Mimi nachoona tuwaachie uhamiaji wafanye kazi yao tu, kama wakiona kuna haja watamuoji.Kauli kama hizo ndizo zinatia shaka sana
Hoja ni moja, je uraia wake ni wa kuzaliwa au wa kupewa?
Kadri watu anavyopandisha povu na kukimbia hoja ndivyo shaka ilipo
Kuna umuhimu wa kuhoji hili. Ni Raia wa Tanzania, je uraia wake upoje kama VP?
Anasubiri mtu atweet “tuhuma” then apate hoja. Kuna ujinga mwingi sana huko Twitter these days. Mtu anajipostia uzushi tu then activists wanapick na kuanza kupropagateMbona uraia wa Samia hauuhoji?
Halafu, hivi wanaopost huko Twitter nao ni Watanzania? Wasije wakawa Wamanga wa Oman na Wanyasa wa Malawi.Anasubiri mtu atweet “tuhuma” then apate hoja. Kuna ujinga mwingi sana huko Twitter these days. Mtu anajipostia uzushi tu then activists wanapick na kuanza kupropagate
Na wengine eti ni wanasheria. Elimu bila kuelimika!
Asije kuwa raia wa Commoro...🤣🤣Ha ha ha ha utaambiwa msomali soon
Yoooote inaweezeana.Asije kuwa raia wa Commoro...🤣🤣
The whole issue started with this personKumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa ACT-Wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya Kirundi.
View attachment 1742127
Kigogo angekuwa known ingependeza zaidi ili awe liable anapothibitika kumchafua mtu, lakini kujificha kwa fake ID halafu unaropoka ropoka sio fair, Dr. Mpango himself alishasema yeye ni Muha, Kigogo kwa kujaribu ku prove wrong kaweka video Dr. Mpango akicheza ngoma ya "kirundi" na anaowaita ni "warundi", hili peke yake kwangu halitoshi kuthibitisha bila shaka kwamba Dr. Mpango ni Mrundi, kwani kwa kawaida maeneo ya mipakani mara nyingi tamaduni zao hufanana kati ya nchi moja na nyingine, mbaya zaidi Kigogo nae anatumia taarifa za mtu mwingine kutoa hizo shutuma ambapo mtu huyo nae anatumia fake ID.
Lisemwalo lipo kama halipo laja.Zitto kujiunga na CCM Jumanne hii.Sababu VP ni wa kwao.Hawa akina Zitto ndio wanafiki namba moja.Huyo huwa anapenda udini na ukabila. Yupo vizuri huko
Mbona hujibu hoja yangu kwa kutumia '' key provision' unazosema ambazo pengine sizijui!Kwanza una fahamu sherehe ipi ina regulate mambo ya uhamiaji hapa Tanzania???? Umeshaipitia ukaifaham vizuri au kupitia tu key provision zake. Mambo mengi nchini yanaendshwa kisiasa tu. Yaani kama VP akijibu hii hoja, atakua amenikosea san maana anawapa nguvu watu mitandaoni. Mwisho wa siku hii nchi itakua inaendeshwa na watu mitandaoni. Mimi nachona tuwaachie uhamiaji wafanye kazi yao tu, kama wakiona kuna haja watamuoji.
Katiba imeanisha aina ya uraia na ikatoa mashrti kwa viongozi yakiambatana na uraia waoUmuhimu wake ni upi???
Sana sana inaleta matabaka (classes) ya uraia, kwamba raia wa class fulani hatakiwi kupata haki na wadhifa fulani na fulani no matter how brilliant he is to serve the country!!, huu ni aina fulani ya ubaguzi wa ukabila unaoshadidishwa na Wapuuzi na Wajinga wachache, Dr J k Nyerere alipata kusema; "sumu ya ukabila ni mbaya sana ukishaanza kuinywa itakutafuna tu na haiishii hapo tu--"-"
Hakuna ukabila, walioleta ukabila ni wale wanaosema Ukigoma ndio tatizoNami nasema sumu ya ukabila wa Dr Mpango haitaishia hapo itawatafuna wengi sana. Na wameanza kuuliza Samia naye ni Muomani kwani ndugu zake wengi ni raia wa huko.
Mpango ni Muha halisi, kuna tofauti kati ya Muha na Muhutu.
Hakuna hoja. Hatuwezi kupoteza muda kupropagate uzushi kwa kuwa kuna mtu mmoja katweet (below)
Wewe unayesema eti kuna habari huyu ni Mrundi nani kakwambia? Umbea na uzushi tu bila evidence.
Hii tweet eti ndio chanzo chenu cha habari. Are we serious?
Hapana ! wala si hivyoHeshima yako mkuu.
SIKUJUA KAMA NAWE UNAPENDA USHADADU WA VIHOJA.
Tatizo letu hasa upinzani ni kuchafuana. Mtu yeyote mwenye kujuwa historia ya TZ pamoja na makabila yake anatakiwa kujuwa kuwa watu wa mipakana wana makabila yanayoshahibiana. Waha kwa kifupi wana uhusiano na Warundi. Nafikiri siku hizi hata historia ya makabila hatujifunzi. Wale tuliyokuwa shule miaka ya 1950 tulijifunza juu ya makabila na asili zao. Ndiyo maana ukinitajia Mwami Ntare ninajuwa ni nani na alitawala wapi. Sasa hivi watu wanasikia Wahutu na Watusi, wakidhani hayo ni makabila kumbe siyo. Hata Waha, Wanyamwezi, na Wasukuma wana wahutu wao na watusi wao.Watu wa mikoa ya pembezoni huwa wananyanyapaliwa sana kwa kubambikiwa uraia wa nchi jirani.
Zitto yuko sahihi kukasirika