MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Kweli kabisaIla hizi propaganda kwamba Dr. Mpango ni Mrundi kwa kuwa tu ameonekana akicheza wimbo wa kiha ni utoto na kukosa hoja.
Kigogo sometimes anakuwa na mambo ya kipuuzi sana. These days yupo off target kwa kila jambo na frustrations zake zinamfunua na kuonyesha ni mtu wa aina gani
Umakamu wa rais umemuuma sana, hili jambo halina mantiki kabisa. Kama kuna mtu anashida na uraia, alete ushahidi. Sio ngoma au mavazi.