Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Oh...Inaposemwa Wasukuma haina maana Wasukuma WOTE.
Kwa hiyo ni Wasukuma wangapi sasa waliokula hizo raha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh...Inaposemwa Wasukuma haina maana Wasukuma WOTE.
Aisee ukiona hivi unaweza ukadhani matatizo nchini yamekwisha....
Ila kumbe tuna matatizo lukuki ila bado tunatafuta mengine kwenye utofauti wetu....,
By the way hapa tukianza kutafuta ni nani alikuwa hapa tangu enzi na enzi hapatabaki mtu (kila mtu ni wa kuja)..., alafu tukienda mbele zaidi kila binadamu atakuwa ni Mtanzania (sababu historia inaonyesha mabaki ya kwanza ya Binadamu yametokea Tanzania..., hivyo basi kila Binadamu hapa ni nyumbani...
Kumbuka baba yake Mbowe alimpa nauli baba wa taifa kama ulikuwa hujui.Ni mnyasa wa Mbambabay!
Wewe unamjua mzee Mbowe?Kumbuka baba yake Mbowe alimpa nauli baba wa taifa kama ulikuwa hujui
Ni mshauri wa rais
Yupo karibu na rais na Mpango anaongea kwa kuwaaminisha watu hivyo ndivyo itakavyokuwa
Kwahiyo vijana wanaoimba nyimbo za hip hop,ni wamarekani?Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa Act wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya kirundi.
View attachment 1742127
Hili ni suala la public interest, ikiwa kuna haja uhamiaji watalizungumziaUhamiaji ni chombo pekee kisheria kina mamlaka ya kuhoji uraia wa mtu na siyo users wa twitter au Jamiiforums. Mkiwa na mashaka na urai wa mtu mnaenda kuripoti uhamiaji na una haki ya kufuatilia ripoti yako.
Oh...
Kwa hiyo ni Wasukuma wangapi sasa waliokula hizo raha?
[emoji23] Nimeipenda hiiZito anapost na kujijibu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Povu la nini Zitto, nani asiejua kuwa nyie ni Warundi, tulishaumizwa na Mtupoli hatutaki kurudia makosa. Viumbe wabishi na wapenda kutoa roho za watanzania wanatoka Burundi.
umemaliza kila kitu atakayebisha zaidi akapimwe mkojoHoja ya Uraia ni yakisheria siyo yakisiasa. Kwa mujibu wa sheria ya Uraia wa Tanzania Sura 258 kifungu Cha 4 raia wa Tanzania kwa kuzaliwa ni mtu aliyezaliwa ndani ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania mmoja wa wazazi wake akiwa Raia wa Tanzania. Kwa kifungu hiki Dr. Mpango hana utata wa Uraia kwa sababu zifuatazo;
1 . Amezaliwa Tanzania
2. Wazazi wake wote wawili wakiwa Raia wa Tanzania
3. Hajawahi kuukana Utanzania nakujipatia uraia wa nchi nyingine.
Kujadili hoja hii kisiasa na kwa mihemko nikokosa ueledi nakurukia gari kwa mbele. Sheria hii sikuwahi kuisoma ila nimeikupa mtandaoni nakuisoma ipo straight forward tujikite kwenye maendeleo.
Tuache kutafuta popularity, Kama nikucheza ngoma ya warundi mbona wamasai wa Kenya na Tz wanacheza ngoma moja? Mbona wajaluo wa Tanzania na Kenya wanacheza ngoma moja? Mbona wamakonde wa Tz na Msumbiji wa tamaduni moja?
Tumwache mzee achape kazi.
Unauliza majibu ndugu yangu, labda nikutajie na kijiji alichozaliwa ukawatembelee wakuinyeshe kwao na ndugu zake.Huyo Mtu pori katoka Burundi??
Watu wa mikoa ya pembezoni huwa wananyanyapaliwa sana kwa kubambikiwa uraia wa nchi jirani.
Zitto yuko sahihi kukasirika