Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

Zitto amekuwa msemaji wa Mpango!
Alivyo opportunist anamendea uteuzi tu hapo.


Uteuzi upi??, yeye ni mkuu wa chama cha ACT sasa ateuliwe kwenye wadhifa upi na aachwe Mwana CCM??!
 
Mburahati anapenda sana uzushi, yeye nina wasi wasi na uraia wake
 
Binadamu wa Kwanza hakutokea Tanzania.
Ni historia nyepesi tu ya kuwafanya muwe wazalendo.
Binadamu wa Kwanza ni Adam na Hawa.Wote hawa walitokea bara la Asia.

so shallow

Yaani kwa akili ndogo unaona dunia ilianza na watu wawili tu sio???


acheni ku crame biblia kitoto


Adam and Eva was figurative language only...aisee
 
Dr Mpango anapaswa kusema tu Uraia wake ni wa aina gani! Baasi. Kama hataeleza basi wale wanaosema si Raia watakuwa na uhalali wa kusema kwasababu nini anaficha?
Kama Rais na VP watapaswa kujitokeza na kuclarify kila issue inayokuwa raised na every Tom, Dick & Harry huko social media, hakuna kazi watafanya. Dr. Mpango will never do such a thing

Waliomteua na kuibuka na jina lake watakuwa walishafanya kazi ya kumchunguza. Hata kama kuna possibility ya ukweli kwamba babu yake na babu yake na babu yake Mpango walicross border kuingia Buhigwe mwaka 1827 haitobadili ukweli kwamba huyu ni MTZ na VP wa JMT
 
Aisee ukiona hivi unaweza ukadhani matatizo nchini yamekwisha....

Ila kumbe tuna matatizo lukuki ila bado tunatafuta mengine kwenye utofauti wetu....,

By the way hapa tukianza kutafuta ni nani alikuwa hapa tangu enzi na enzi hapatabaki mtu (kila mtu ni wa kuja)..., alafu tukienda mbele zaidi kila binadamu atakuwa ni Mtanzania (sababu historia inaonyesha mabaki ya kwanza ya Binadamu yametokea Tanzania..., hivyo basi kila Binadamu hapa ni nyumbani...
Kweli mkuu
 
Kama Rais na VP watapaswa kujitokeza na kuclarify kila issue inayokuwa raised na every Tom, Dick & Harry huko social media, hakuna kazi watafanya. Dr. Mpango will never do such a thing

Waliomteua na kuibuka na jina lake watakuwa walishafanya kazi ya kumchunguza. Hata kama kuna possibility ya ukweli kwamba babu yake na babu yake na babu yake Mpango walicross border kuingia Buhigwe mwaka 1827 haitobadili ukweli kwamba huyu ni MTZ na VP wa JMT

Nafikiri Katiba na sheria zetu ndio zina dosari
Mbona wenzetu jirani Kenya hawako kama sisi na hata waziri wa ulinzi akiwa na asili ya kisomali hawana uonezi kama wetu?
Achilia mbali mataifa makubwa ambapo hata mkimbizi anapopata uraia anakubaliwa kuingia siasa na kufika anakoweza kwa bidii zake?

Mfumo mbaya huu unaotutenga ingawa wengi wanakuambia ooh usalama na visingizio visivyokuwa na mantiki yoyote
 
ZIto na kigogo yao mamoja. Asijibalaguze bila sababu kwanza uraia wake ni wa mashaka kuliko Mpango. Hakuna Muha anayeitwa Kabwe!


Wewe Zwazwa kwelikweli, wewe unadhani Kigoma imejaa Waha tupu??---- Zitto siyo Muha lakini ni mtetezi wa Wana kigoma WOTE. Hata mimi siyo Muha lakini sipendi kusikia Mtanzania yeyote wa Kigoma wa kabila lolote akidhulumiwa.

Awe, Muha, Muhutu, Mtutsi, Mmanyema, Muhaya, Mchaga, Msukuma, Mnyamwezi, Mjita, Mfipa nk, Kutoka Kigoma sipendi kuona akinyanyaswa na kudhulumiwa kisa Kabila lake.

Wazungu hawana mambo ya ukabila ila sisi ngozi nyeusi tuliobaguliwa na mipaka walioiweka hao wazungu bado tuko katika Utumwa wa ukabila.
 
Round Hii tutegemee kuona taa za barabarani na airport za kimataifa Kasulu.[emoji23][emoji23] Kitaalamu Hii inaitwa "kutesa kwa zamu"
Hahahaha nimecheka kweli

Kasulu kuna bonge la vumbi nyekundu yaani kubayaaaaa na mvua na radi zinapiga hatari [emoji1787][emoji1787]
 
Mi nauliza shida ipo wapi hta km itajulikana ana asili ya burundi? Ni watanzania wangapi tuna asili ya nchi nyingine lakini bado tu wazalendo?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app

Kweli kabisa.

Marehemu Ben Mkapa alikuwa ni Myao kutoka Msumbiji mbona haikuangaliwa hiyo??!!
 
Mpango anaweza kutuonyesha Kaburi za Babu zake wa pande mbili? Au anajua tu kusema ni mtoto wa Masikini?
 
Nikweli mkuu tuonaotoka mipakani ni shida.....unakuta surname yako iko pande zote 2 hapo wanasiasa ndiyo wanatumia adivanteji
Iahu kubwa mmeingiliwa na wakimbizi[emoji1]

Hamuaminiki nyie soon mnakinukisha.(jokes)
 
Hahahaha nimecheka kweli

Kasulu kuna bonge la vumbi nyekundu yaani kubayaaaaa na mvua na radi zinapiga hatari [emoji1787][emoji1787]


Kubaya kama sura yako??!!

Kama kubaya ulifuata nini??!!
 
Back
Top Bottom