johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tunazungumzia uraa wewe Bawacha!mkuu ndio maana mnaitwa chawa hivihivi , ya chadema yametoka wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunazungumzia uraa wewe Bawacha!mkuu ndio maana mnaitwa chawa hivihivi , ya chadema yametoka wapi ?
Wewe mwenyewe kwenu ni Malawi mbona hatuhoji uraia wako,hapa Tanzania ni Wagogo peke yao ndio wanweza kudai kwamba ni raia wa nchi hii,marehemu Mkapa wazazi wake wana asili ya Msumbiji, Karume wana asili ya Malawi na wengineo wengi,kule Marekani kwa mfano karibu wote ni wahamiaji kasoro tu wahindi wekundu ndio wenye nchi japo wengine wana asili za Amerika ya Kusini, na tukisema Wakishumundu ni asili ya Wakikuyu si mwenyekiti wako wa SACCOSS atafurumishwa,tuache hizo siasa uchwara zamani bara letu lilikuwa moja tu,ni mabeburu ndio wametutanganisha.Wazeni mambo yenye tija bana.Huyu si Mwanasiasa wa kwanza kutuhumiwa kwamba si raia wa Tanzania , wako wengine kadhaa walishatuhumiwa akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Generali Ulimwengu , wamo akina Eyakuze wa Twaweza pamoja na Maaskofu kadhaa wa Makanisa .
Walichokifanya ni kutoa nyaraka zao kuthibitisha uraia wao , wako ambao pia walithibitisha hata uraia wa babu zao baada ya kutakiwa kufanya hivyo , kwahiyo tuhuma za uraia wala si jambo geni , Nyalandu alidaiwa kuwa na uraia wa nchi mbili mbona hatukusikia akitetewa ?
Makamu wa Rais kama walivyo Watanzania wengine hana kinga dhidi ya shutuma zozote juu yake , anatakiwa ajitokeze hadharani kukanusha tuhuma hizo na kuthibitisha uraia wake , huo ndio Uzalendo , Kabudi na Mwandosya wamewahi kushutumiwa kuhusu vyeti feki lakini walijitokeza hadharani na kutoa ufafanuzi na wazushi wakashindwa , hiki ndicho anachopaswa kukifanya Dr Mpango ili kuweka mambo sawa kabla wadau hawajazusha mengine .
Hakuna haja ya wanasiasa kujivika utetezi wakati Mpango mwenyewe yupo , ajitokeze tu .
Mbona mnakua hamna akil nyie mnataka NiniHuyu si Mwanasiasa wa kwanza kutuhumiwa kwamba si raia wa Tanzania , wako wengine kadhaa walishatuhumiwa akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Generali Ulimwengu , wamo akina Eyakuze wa Twaweza pamoja na Maaskofu kadhaa wa Makanisa .
Walichokifanya ni kutoa nyaraka zao kuthibitisha uraia wao , wako ambao pia walithibitisha hata uraia wa babu zao baada ya kutakiwa kufanya hivyo , kwahiyo tuhuma za uraia wala si jambo geni , Nyalandu alidaiwa kuwa na uraia wa nchi mbili mbona hatukusikia akitetewa ?
Makamu wa Rais kama walivyo Watanzania wengine hana kinga dhidi ya shutuma zozote juu yake , anatakiwa ajitokeze hadharani kukanusha tuhuma hizo na kuthibitisha uraia wake , huo ndio Uzalendo , Kabudi na Mwandosya wamewahi kushutumiwa kuhusu vyeti feki lakini walijitokeza hadharani na kutoa ufafanuzi na wazushi wakashindwa , hiki ndicho anachopaswa kukifanya Dr Mpango ili kuweka mambo sawa kabla wadau hawajazusha mengine .
Hakuna haja ya wanasiasa kujivika utetezi wakati Mpango mwenyewe yupo , ajitokeze tu .
kwani zito ni mrundi mbona mkali hivo
Kwani kabila ndilo linaamua uraia wa mtu?Uthibitisho wa wanaomtuhumu ni video clip moja yenye mashairi ya KIHA ambapo Dr. Mpango ameonekana akishiriki kucheza. Seems ilikuwa ni wakati wa campaign za Ubunge. Nothing more. Kama Waha ni Warundi basi Dr. Mpango ni Mrundi.
Hoja nyepesi...just!
Wewe una unauhakika gani na haya uliyosema?Kuna pande mbili za suala hili
1. Upande wa kwanza umeonyesha hata kwa jina la 'Dr..' ambalo linaonekana kuwa la Burundi
2. Upande wa Pili ni ule unaotumia Ukigoma kama kinga ya kutohojiwa
Ikumbukwe, Uraia una maeneo mawili, kwanza wa kuzaliwa na pili wa kufikia au kupewa
Dr Mpango ni Raia wa Tanzania iwe alizaliwa au alipewa, hilo halina mjadala
Pamoja na yote , Dr Mpango ana wajibu wa kueleza nature ya Uraia wake ili kuondoa mashaka kwamba hana uraia wa kuzaliwa au kupewa. Bila kufanya hivyo itakuwa ni halali kusema Dr Mpango si Raia
Hivyo basi Dr Mpango anapaswa ajitokeze kama kiongozi wa umma kuthibitisha aina ya Uraia wake.
Haitoshi kusema katoka Kigoma basi ni Raia, inatakiwa kwenda mbali zaidi ya hapo.
Abdul Nondo ambae sote tunajua ni kijana au mtoto alituhumiwa si Raia.
Tulijua ni uongo lakini Nondo alikwenda mbali na kuonyesha Babu yake alimpokea Nyerere, hilo tu lilimaliza ubishi kuwa kwavyovyote iwavyo wazazi wa Abdul wamezaliwa Tanzania na yeye pia na ni raia wa kuzaliwa na mjadala ulifungwa daima milele
Dr Mpango ajitokeze kama Askofu aliyetuhumiwa na ambaye alitoa uthibitisho wake.
Hii system iliundwa na akina Mpango wakiwa Baraza la Mawaziri la Magufuli kwa chuki, dhulma na ukatili
Wazungu wanasema '' Chicken are coming home to roost''
Dr Mpango anawajibika kuondoa shaka kwa vithibitisho vinginevyo hoja kwamba si Raia inamuondolewa nguvu ya kutumikia Taifa , inamuondolewa uadilifu na itia mashaka kama kweli ni Mtanzania anayepaswa kupewa dhamana na usalama wa Taifa letu.
JokaKuu Mag3 tindo The Boss Zitto
Sure,these few days amekuwa kama mtoto wa chekechea.Ila hizi propaganda kwamba Dr. Mpango ni Mrundi kwa kuwa tu ameonekana akicheza wimbo wa kiha ni utoto na kukosa hoja.
Kigogo sometimes anakuwa na mambo ya kipuuzi sana. These days yupo off target kwa kila jambo na frustrations zake zinamfunua na kuonyesha ni mtu wa aina gani
Nadhani akishajua kwamba na CS (Balozi Hussein A. Kattanga) naye ni wa kutoka Kigoma, ataanza propaganda za kudai na yeye ni Mhutu.Sure,these few days amekuwa kama mtoto wa chekechea.
Umesoma vizuri nilichoandika? Sijamtuhumu mtu au kumsafishaWewe una unauhakika gani na haya uliyosema?
Unasema Dkt. Mpango ni raia. Halafu bado unamtaka athibitishe kuwa yeye ni raia?Kuna pande mbili za suala hili
1. Upande wa kwanza umeonyesha hata kwa jina la 'Dr..' ambalo linaonekana kuwa la Burundi
2. Upande wa Pili ni ule unaotumia Ukigoma kama kinga ya kutohojiwa
Ikumbukwe, Uraia una maeneo mawili, kwanza wa kuzaliwa na pili wa kufikia au kupewa
Dr Mpango ni Raia wa Tanzania iwe alizaliwa au alipewa, hilo halina mjadala
Pamoja na yote , Dr Mpango ana wajibu wa kueleza nature ya Uraia wake ili kuondoa mashaka kwamba hana uraia wa kuzaliwa au kupewa. Bila kufanya hivyo itakuwa ni halali kusema Dr Mpango si Raia
Hivyo basi Dr Mpango anapaswa ajitokeze kama kiongozi wa umma kuthibitisha aina ya Uraia wake.
Haitoshi kusema katoka Kigoma basi ni Raia, inatakiwa kwenda mbali zaidi ya hapo.
Abdul Nondo ambae sote tunajua ni kijana au mtoto alituhumiwa si Raia.
Tulijua ni uongo lakini Nondo alikwenda mbali na kuonyesha Babu yake alimpokea Nyerere, hilo tu lilimaliza ubishi kuwa kwavyovyote iwavyo wazazi wa Abdul wamezaliwa Tanzania na yeye pia na ni raia wa kuzaliwa na mjadala ulifungwa daima milele
Dr Mpango ajitokeze kama Askofu aliyetuhumiwa na ambaye alitoa uthibitisho wake.
Hii system iliundwa na akina Mpango wakiwa Baraza la Mawaziri la Magufuli kwa chuki, dhulma na ukatili
Wazungu wanasema '' Chicken are coming home to roost''
Dr Mpango anawajibika kuondoa shaka kwa vithibitisho vinginevyo hoja kwamba si Raia inamuondolewa nguvu ya kutumikia Taifa , inamuondolewa uadilifu na itia mashaka kama kweli ni Mtanzania anayepaswa kupewa dhamana na usalama wa Taifa letu.
JokaKuu Mag3 tindo The Boss Zitto
Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa Act wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya kirundi.
View attachment 1742127
Wanyakyusa,wanyasa wangoni tunacheza ngoma mojaHoja ya Uraia ni yakisheria siyo yakisiasa. Kwa mujibu wa sheria ya Uraia wa Tanzania Sura 258 kifungu Cha 4 raia wa Tanzania kwa kuzaliwa ni mtu aliyezaliwa ndani ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania mmoja wa wazazi wake akiwa Raia wa Tanzania. Kwa kifungu hiki Dr. Mpango hana utata wa Uraia kwa sababu zifuatazo;
1 . Amezaliwa Tanzania
2. Wazazi wake wote wawili wakiwa Raia wa Tanzania
3. Hajawahi kuukana Utanzania nakujipatia uraia wa nchi nyingine.
Kujadili hoja hii kisiasa na kwa mihemko nikokosa ueledi nakurukia gari kwa mbele. Sheria hii sikuwahi kuisoma ila nimeikupa mtandaoni nakuisoma ipo straight forward tujikite kwenye maendeleo.
Tuache kutafuta popularity, Kama nikucheza ngoma ya warundi mbona wamasai wa Kenya na Tz wanacheza ngoma moja? Mbona wajaluo wa Tanzania na Kenya wanacheza ngoma moja? Mbona wamakonde wa Tz na Msumbiji wa tamaduni moja?
Tumwache mzee achape kazi.
Na wahamiaji haramu wengi wao huwa wanajipenyeza hivyo kwa kujifanya wao ni wa makabila ya mikoa ya pembezoni. ZZK achunguzwe kwa jazba hizo huenda ni mhamiaji haramu naye, maana hatujawahi kumsikia baba yake mzazi nani hata kama alifariki ni mama tu dailyWatu wa mikoa ya pembezoni huwa wananyanyapaliwa sana kwa kubambikiwa uraia wa nchi jirani.
Zitto yuko sahihi kukasirika
Kuna pande mbili za suala hili
1. Upande wa kwanza umeonyesha hata kwa jina la 'Dr..' ambalo linaonekana kuwa la Burundi
2. Upande wa Pili ni ule unaotumia Ukigoma kama kinga ya kutohojiwa
Ikumbukwe, Uraia una maeneo mawili, kwanza wa kuzaliwa na pili wa kufikia au kupewa
Dr Mpango ni Raia wa Tanzania iwe alizaliwa au alipewa, hilo halina mjadala
Pamoja na yote , Dr Mpango ana wajibu wa kueleza nature ya Uraia wake ili kuondoa mashaka kwamba hana uraia wa kuzaliwa au kupewa. Bila kufanya hivyo itakuwa ni halali kusema Dr Mpango si Raia
Hivyo basi Dr Mpango anapaswa ajitokeze kama kiongozi wa umma kuthibitisha aina ya Uraia wake.
Haitoshi kusema katoka Kigoma basi ni Raia, inatakiwa kwenda mbali zaidi ya hapo.
Abdul Nondo ambae sote tunajua ni kijana au mtoto alituhumiwa si Raia.
Tulijua ni uongo lakini Nondo alikwenda mbali na kuonyesha Babu yake alimpokea Nyerere, hilo tu lilimaliza ubishi kuwa kwavyovyote iwavyo wazazi wa Abdul wamezaliwa Tanzania na yeye pia na ni raia wa kuzaliwa na mjadala ulifungwa daima milele
Dr Mpango ajitokeze kama Askofu aliyetuhumiwa na ambaye alitoa uthibitisho wake.
Hii system iliundwa na akina Mpango wakiwa Baraza la Mawaziri la Magufuli kwa chuki, dhulma na ukatili
Wazungu wanasema '' Chicken are coming home to roost''
Dr Mpango anawajibika kuondoa shaka kwa vithibitisho vinginevyo hoja kwamba si Raia inamuondolewa nguvu ya kutumikia Taifa , inamuondolewa uadilifu na itia mashaka kama kweli ni Mtanzania anayepaswa kupewa dhamana na usalama wa Taifa letu.
JokaKuu Mag3 tindo The Boss Zitto
Huu ni uzamani, lazima tufikie muda kitu chochote unachojua ni cha kweli hata kama kimeletwa na mtu mnaye tofautiana mitazamo ya kisiasa unakikubali. Nchi ya kwetu sote ukiwa upande wowote.zitto umetanguliza tumbo kufikiri, wewe kama kweli ni mpinzani ulitakiwa kuunga mkono hizi tuhuma ili kuishinikiza serikali iachane na mambo ya kuwabambikia watu wa kigoma wanaokwenda kinyume na matakwa ya watu fulani kuwa si watanzania, ungetumia falsafa ya "Mkuki kwa nguruwe". Umeshindwa kutafakari