Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli alikuwa sahihi kabisa.Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa Act wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya kirundi.
View attachment 1742127
Zitto amekuwa msemaji wa Mpango!
Alivyo opportunist anamendea uteuzi tu hapo.
Wasukuma wamezila wapi hizo raha?
Mimi ni Msukuma 💯%.
Hiyo memo ya kula raha mbona sikuipata?
Mi nauliza shida ipo wapi hta km itajulikana ana asili ya burundi? Ni watanzania wangapi tuna asili ya nchi nyingine lakini bado tu wazalendo?Watu wa mikoa ya pembezoni huwa wananyanyapaliwa sana kwa kubambikiwa uraia wa nchi jirani.
Zitto yuko sahihi kukasirika
Binadamu wa Kwanza hakutokea Tanzania.
Ni historia nyepesi tu ya kuwafanya muwe wazalendo.
Binadamu wa Kwanza ni Adam na Hawa.Wote hawa walitokea bara la Asia.
Kama Rais na VP watapaswa kujitokeza na kuclarify kila issue inayokuwa raised na every Tom, Dick & Harry huko social media, hakuna kazi watafanya. Dr. Mpango will never do such a thingDr Mpango anapaswa kusema tu Uraia wake ni wa aina gani! Baasi. Kama hataeleza basi wale wanaosema si Raia watakuwa na uhalali wa kusema kwasababu nini anaficha?
Mbona sisi watu wa rombo na sehemu zingine hapa pembezoni hatunyapaliwiWatu wa mikoa ya pembezoni huwa wananyanyapaliwa sana kwa kubambikiwa uraia wa nchi jirani.
Zitto yuko sahihi kukasirika
Kweli mkuuAisee ukiona hivi unaweza ukadhani matatizo nchini yamekwisha....
Ila kumbe tuna matatizo lukuki ila bado tunatafuta mengine kwenye utofauti wetu....,
By the way hapa tukianza kutafuta ni nani alikuwa hapa tangu enzi na enzi hapatabaki mtu (kila mtu ni wa kuja)..., alafu tukienda mbele zaidi kila binadamu atakuwa ni Mtanzania (sababu historia inaonyesha mabaki ya kwanza ya Binadamu yametokea Tanzania..., hivyo basi kila Binadamu hapa ni nyumbani...
Kama Rais na VP watapaswa kujitokeza na kuclarify kila issue inayokuwa raised na every Tom, Dick & Harry huko social media, hakuna kazi watafanya. Dr. Mpango will never do such a thing
Waliomteua na kuibuka na jina lake watakuwa walishafanya kazi ya kumchunguza. Hata kama kuna possibility ya ukweli kwamba babu yake na babu yake na babu yake Mpango walicross border kuingia Buhigwe mwaka 1827 haitobadili ukweli kwamba huyu ni MTZ na VP wa JMT
ZIto na kigogo yao mamoja. Asijibalaguze bila sababu kwanza uraia wake ni wa mashaka kuliko Mpango. Hakuna Muha anayeitwa Kabwe!
Hahahaha nimecheka kweliRound Hii tutegemee kuona taa za barabarani na airport za kimataifa Kasulu.[emoji23][emoji23] Kitaalamu Hii inaitwa "kutesa kwa zamu"
hahahah we nakuhesabia tu nasubiri siku utwae u-VP au Uspika nilianzisheMimi kila siku mayarudi Mangoma ya akina Maiko Jaksini lakini nashangaa hamnisingizii Umarekani. Kwani nimewakoseeni wapi nyie watu?
Mi nauliza shida ipo wapi hta km itajulikana ana asili ya burundi? Ni watanzania wangapi tuna asili ya nchi nyingine lakini bado tu wazalendo?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Iahu kubwa mmeingiliwa na wakimbizi[emoji1]Nikweli mkuu tuonaotoka mipakani ni shida.....unakuta surname yako iko pande zote 2 hapo wanasiasa ndiyo wanatumia adivanteji
Hahahaha nimecheka kweli
Kasulu kuna bonge la vumbi nyekundu yaani kubayaaaaa na mvua na radi zinapiga hatari [emoji1787][emoji1787]