Pre GE2025 Zitto Kabwe awajibu CHADEMA asema Wao wanafunzwa katika Dini yao Qur'an Sura 109:6 Lakum dinukum waliyadin. Hivyo kila Mtu ashinde mechi zake!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Mh Zitto Kabwe amemtaka mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Jacob Boniface ajikite kwenye mambo ya Chadema badala ya kuvamia vyama vingine

Zitto Kabwe amesema wao wanajifunza kwenye Dini yao Qur'an Sura 109:6

" Wewe unatumia muda zaidi kuhangaika na mambo yetu, sisi hatuna muda na mambo yenu. Kila mtu ashinde mechi zake " ameandika Zitto Kabwe ukurasani X

Mlale Unono 😄😄🔥
ACT Wazalendo ni chama Cha kidini chenye mrengo wa kigaidi
 
Wakiristo wengi wananukuu sana maandiko ktk hotuba zao ya biblia. Wakinuu waislam quran inakuwa nongwa. Mtasikia msiyotaka kuyasikia
Hongera Zitto.
Aya za Bible hunukuliwa na Viongozi walioko Madarakani Bila kujali dini zao mfano Mzee Makamba wa CCN
 
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Mh Zitto Kabwe amemtaka mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Jacob Boniface ajikite kwenye mambo ya Chadema badala ya kuvamia vyama vingine

Zitto Kabwe amesema wao wanajifunza kwenye Dini yao Qur'an Sura 109:6

" Wewe unatumia muda zaidi kuhangaika na mambo yetu, sisi hatuna muda na mambo yenu. Kila mtu ashinde mechi zake " ameandika Zitto Kabwe ukurasani X

Mlale Unono 😄😄🔥
Zitto sahivi ni Afisa Habari wa ACT? maana chama sijui hakina hata msemaji wala Mwenyekiti
 
Back
Top Bottom