Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Ila dada zetu wanavumilia mengi sana.
Huyu mwamba akiwa anakitafuta cha mkwezi sijui anakuwaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila dada zetu wanavumilia mengi sana.
😂😂😂Ndio ipo wazi kwamba ACT na CUF ni vyama vya kiislamu.
Usizunguruke mkuu. Kuwa wazi"Din" = njia.
Kila lilipo neno "dini" weka neno "njia", utaelewa tu.
Wakiristo wengi wananukuu sana maandiko ktk hotuba zao ya biblia. Wakinuu waislam quran inakuwa nongwa. Mtasikia msiyotaka kuyasikiaNdio ipo wazi kwamba ACT na CUF ni vyama vya kiislamu.
kama dini ya kihindu au dini ya kiyahudi ya yesu"Din" = njia.
Kila lilipo neno "dini" weka neno "njia", utaelewa tu.
ACT Wazalendo ni chama Cha kidini chenye mrengo wa kigaidiKiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Mh Zitto Kabwe amemtaka mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Jacob Boniface ajikite kwenye mambo ya Chadema badala ya kuvamia vyama vingine
Zitto Kabwe amesema wao wanajifunza kwenye Dini yao Qur'an Sura 109:6
" Wewe unatumia muda zaidi kuhangaika na mambo yetu, sisi hatuna muda na mambo yenu. Kila mtu ashinde mechi zake " ameandika Zitto Kabwe ukurasani X
Mlale Unono 😄😄🔥
Namuona Chakubanga au Chakubizo😂😂😂
Kusema " Dini yetu" haimaanishi Dini ya ACT WazalendoACT Wazalendo ni chama Cha kidini chenye mrengo wa kigaidi
Aya za Bible hunukuliwa na Viongozi walioko Madarakani Bila kujali dini zao mfano Mzee Makamba wa CCNWakiristo wengi wananukuu sana maandiko ktk hotuba zao ya biblia. Wakinuu waislam quran inakuwa nongwa. Mtasikia msiyotaka kuyasikia
Hongera Zitto.
"""Tatizo chadema na wafuasi wake wanajishughulisha mno na mambo ya vyama vingine badala ya kuendelea kuzindua maghorofa yao ya jasho la wanachama wao!"""Hewaaa, kila mtu ashinde mechi zake, kwa Mkapa hatoki mtu😅
Nyie ni sawa na Islamic State tu"Din" = njia.
Kila lilipo neno "dini" weka neno "njia", utaelewa tu.
Tanzania hakunaga Wafia DiniNyie ni sawa na Islamic State tu
Zitto sahivi ni Afisa Habari wa ACT? maana chama sijui hakina hata msemaji wala MwenyekitiKiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Mh Zitto Kabwe amemtaka mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Jacob Boniface ajikite kwenye mambo ya Chadema badala ya kuvamia vyama vingine
Zitto Kabwe amesema wao wanajifunza kwenye Dini yao Qur'an Sura 109:6
" Wewe unatumia muda zaidi kuhangaika na mambo yetu, sisi hatuna muda na mambo yenu. Kila mtu ashinde mechi zake " ameandika Zitto Kabwe ukurasani X
Mlale Unono 😄😄🔥
Kwani Erythrocyte ni Afisa habari wa Chadema? 🐼Zitto sahivi ni Afisa Habari wa ACT? maana chama sijui hakina hata msemaji wala Mwenyekiti
Erythrocyte ni kada yeye anaongea kama kada, Lucas ni PS wa UWT hajui hata anafanya niniKwani Erythrocyte ni Afisa habari wa Chadema? 🐼
Au Lucas ni Afisa habari wa CCM? 😂😂
Na Zitto anaongea kama mstaafu 😂Erythrocyte ni kada yeye anaongea kama kada, Lucas ni PS wa UWT hajui hata anafanya nini
Anaingilia wenzakeNa Zitto anaongea kama mstaafu 😂
Wenzake akina nani?!Anaingilia wenzake
ACT ina viongozi wake akae kimya, Mbona Mzee Mtei haingilii mambo ya CHADEMA?Wenzake akina nani?!